Blog ni ajira, naingiza milioni 1 kwa mwezi

Niangalizie hii MWANAJAMII TANZANIA
 
Wajinga wengine hapa kwisha habari yao. Unaona eh! Kwisha kabisa.

Duniani kuna wajinga wa aina 2.
-Wajinga ambao hawajasoma na
-Wajinga waliosoma.

Sasa,wajinga waliosoma ndo balaa.

Kwa nini matapeli hawaendi vijijini na kwa watu wanaoishi maisha ya kawaida?
 
Huko vijijini hela wanazo sasa, labda uwatapeli mahindi!
 
Kabisa mkuu kwenye lugha ya Kimombo uwe vizuri mno, na pia unapoedit article zako unaweza tumia site kama Grammarly kusaidia kuiweka sawa grammar ya article yako.
My friend chatgpt Mbona yupo kwa ajili yetu
 
Shida apa bongo, bloggers wengi sijui ni uchoyo ama nini. Mbona tusitengeneze group la kuongozana maswala haya!!🧐🤔 Tupige hatua kama wenzetu mambele💻💰. Ni kweli ukifanya blog kwa umakini lazima ikulipe. Tusaidiane kuelimishana sio lazma tu kamtonyo mara yote. Platform kama JamiiForums ndiyo seheme ya mijadala kama hii vilevile.
 
Forex vipi wakuu wangu? Kuna jamaa hapa anashawishi nijitupe huko kuwa naweza vuna hata million 100 per one week nikitrade vzuri.

Ijapokuwa mimi naamini kwenye njia ngumu za mafanikio
Yaani toroka mara moja apo😅😅 zubaa uone
 
Kabisa mkuu kwenye lugha ya Kimombo uwe vizuri mno, na pia unapoedit article zako unaweza tumia site kama Grammarly kusaidia kuiweka sawa grammar ya article yako.
Lugha sio tatizo. Mbona mafundi mtaani wanabomia engine lote na kulirudisha. Hapa ishu ni kujua unachokifanya. 👈😇
 
Mbona Millard Ayo anaandika kwa Kiswahili mkuu?
Au Michuzi na blog zingine kubwa za kibongo?
Unaamanisha wao hawapigi hela za AdSense?
Katika kuonyesha matangazo adsense hutengemea sana matumizi ya lugha kwenye google. Changamoto ni kwamba Kiswahili sio lugha mojawapo kweny list ya adsense. So inakua vigumu kupata kipato kizuri kupitia adsense ukifanya blog yako kwa lugha ya kiswahili. Pia sio adsense tu ipo sokoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…