cocaindiva
Member
- Aug 16, 2014
- 13
- 0
Teh teh nyamasaki nzoogo hanaha oletulemba nkema obhebhee
Nani kakufundisha kikwetu wewe?
Liarí-½í±†í-½í±†í-½í±† bitch you lie to much thot
warumi, Dinazarde na Heaven on Earth anzeni mazoezi ya kujilinda mapema maana na nyie siyo muda mtapewa kichapo na "majeshi" ya Wema au Kajala. lol
hahaaaaa!!
jestina mwenyewe kaja jamaniiiii!!!
hahaaaaa!!
jestina mwenyewe kaja jamaniiiii!!!
Wacha weee hhhhaa kaja na gia kaliii aiseee anataman apige watu ban
Ana Wahka huyooo....hebu mpeni glass ya maji apoze koo....khaaa...!
Ana Wahka huyooo....hebu mpeni glass ya maji apoze koo....khaaa...!
Sio juice ya ndimu au anuse kikwapa cha lolowapi atulie halaf weee utaniudhii maji ya ninii
Mmechokozaa mwenzenu Honey Faith kuja hukuu
hahahaaaaa watu tunamdeku tu hapa anavyowayawaya km nyanya za umeme!
Sio juice ya ndimu au anuse kikwapa cha lolowapi atulie halaf weee utaniudhii maji ya ninii
Mmechokozaa mwenzenu Honey Faith kuja hukuu
Mimi siku hiz nimeacha uchokozi mwenzenu
Naona kaja na preshaa ngoja tumpe maji asije akazimia buree...
Hiyo juisi ngoja tumuandalie...Halafu wewe nakupa kazi ya kumtafuta lolowapi aje kutoa huduma ya kwanza...
Anahabuka habuka tu mtapigwa bastola ya ta.ko ohoo
Naona kaja na preshaa ngoja tumpe maji asije akazimia buree...
Hiyo juisi ngoja tumuandalie...Halafu wewe nakupa kazi ya kumtafuta lolowapi aje kutoa huduma ya kwanza...
hahaaaaa!!
jestina mwenyewe kaja jamaniiiii!!!
Hahahaaaa hata Mii namuona pole sana jestina ndo ukome umbea
Why do you guys find pleasure talking lies about someone?