Blogger apewa kipondo

Blogger apewa kipondo

Ana Wahka huyooo....hebu mpeni glass ya maji apoze koo....khaaa...!

Sio juice ya ndimu au anuse kikwapa cha lolowapi atulie halaf weee utaniudhii maji ya ninii
Mmechokozaa mwenzenu Honey Faith kuja hukuu
Mimi siku hiz nimeacha uchokozi mwenzenu
 
Last edited by a moderator:

Naona kaja na preshaa ngoja tumpe maji asije akazimia buree...

Hiyo juisi ngoja tumuandalie...Halafu wewe nakupa kazi ya kumtafuta lolowapi aje kutoa huduma ya kwanza...
 
Kwenye maji weka tumkojo kidogo ni dawa ya presha, ngoja nikmlete huyu lolowapi siku hiz ananibebea pochi mie
 
Last edited by a moderator:
Naona kaja na preshaa ngoja tumpe maji asije akazimia buree...

Hiyo juisi ngoja tumuandalie...Halafu wewe nakupa kazi ya kumtafuta lolowapi aje kutoa huduma ya kwanza...

na embe mbichi msisahau halafu maana labda anakizygote
 
Back
Top Bottom