Blogger apewa kipondo

Hhhhhaaa sasa si muite ndio katukalia kimyaa

kaona anashindana na ukute
mtu mzima hovyoooo kupigwa kisa umbea shoga anguuuu...!!!
wamekosea kidogo team k
wangeenda na keki na kigoma cha shalogwai
 
Kwenye maji weka tumkojo kidogo ni dawa ya presha, ngoja nikmlete huyu lolowapi siku hiz ananibebea pochi mie

Hahahaaa tumkojo ntaweka..mwambie lolowapi afanye haraka kabla mgonjwa hajazidiwa...
 
Last edited by a moderator:
tena huyo jestina ni mbaya sanaa
lengo lako ni nini nyoka weee

Amekauka ka msaga sumu..roho mbaya...na hio sura ka uji wa juzi kazi kujikandika carolite tuu....yeye kila siku kijipendekeza kwa domo na wema sasa kwa kajala alifikaje....na huyo kajala nae aliongeaje mbele ya huyu bibi bomba hamjui ka ni mnafiki??
 
Hhhhaaaaa nimecheka sanaaaa,na watu watamuogopa kukaa nae maana watahisi wanarekodiwa hizi simu zimeleta mengii

Bibi bomba kupigwaa hahaha...ila kwenye blogu yake hajaweka hiii habari...hataki kuiongelea
 
Hiko ki jestina ndo maana hakinenepi, bora walivyompa kichapo, ila nyie watu wabaya, sasa wembamba ule sijui watakuwa wamempigia wapi, kwel watu wamepinda aiseh

Hahahahaha...akiendelea na kitabia chake wamdunde tena...kwanza anafanya nin bongo....mama imani si aende kwa mmewe
 
Amekauka ka msaga sumu..roho mbaya...na hio sura ka uji wa juzi kazi kujikandika carolite tuu....yeye kila siku kijipendekeza kwa domo na wema sasa kwa kajala alifikaje....na huyo kajala nae aliongeaje mbele ya huyu bibi bomba hamjui ka ni mnafiki??

ukute nae aliongea maana mijitu km ile wao wansema ila wanapeleka ya wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…