Jestina ni paparazi alikuwa kazini,kajala asingeongea Jestina angepata wapi umbea,Kajala mnafiki mbaya.unamteta vibaya mtu aliekunusuru jela aiseeukinisaidia ndo nikunyenyekee ka mtoa pumzi!!
kuteta kawaida kwa wanawake!!
hapa mtata jestina maana kumbe ye anajiskia fakhari wakigombana
ktk hii dunia aamini mama ako mzazi tu
Jestina ni paparazi alikuwa kazini,kajala asingeongea Jestina angepata wapi umbea,Kajala mnafiki mbaya.unamteta vibaya mtu aliekunusuru jela aisee
Jestina ni paparazi alikuwa kazini,kajala asingeongea Jestina angepata wapi umbea,Kajala mnafiki mbaya.unamteta vibaya mtu aliekunusuru jela aisee
Huu wema aliofanyiwa kajala imefika mda wa kuurudisha...hebu amlipe wema izo pesa masimango yaishe
Huu wema aliofanyiwa kajala imefika mda wa kuurudisha...hebu amlipe wema izo pesa masimango yaishe
kweli shoga alipe tu mana kila kitu
yaani naona anajuta
Acha uongo!period your the biggest liar mxiuuuu..where you thea? Stop lying
Wewe mama utakufa bure na presha jf na hiko kingereza chako watu humu wamesoma masingular mpaka maplural.Mtafute Le Mutuz akupe dawa ya uvumilivu kwenye mitandao.
hivi huyu si alishawahi kula kipondo na mbuta nanga?yaani mtu unatoka ulaya unafika kuingilia maugomvi yasiyokuhusu huna kazi.lakini anaonekana tu mbeambea kamdomo ka chiriku.na roho yake inaonekana mbaya kwa kuangalia tu sura yake.[
About a week ago
sijaelewa Jestina naomba uongee French ! et poser vos questions
:typing:
this tooukute nae aliongea maana mijitu km ile wao wansema ila wanapeleka ya wenzao
tena atake deep breath!!
aache uchonganishi ndo mana kumbe ashapigwagwa huko uk
haloooooooooooooooooooooowwwee
R.I.P í-½í±…í-½í±…í-½í±…í-½í±…í-½í¸‚í-½í¸‚ see your life í-½í±†
If I may know..what has she done to you for you to hate her this way?be reasonable why so much hate?
.Yule Betina wa UK alieeolewa mke wa 3 amekula kipondo cha maana juzi baada ya kugundulika kuwayeye ndo aliewa rekodi kina Kajala wakimsema Wema na kisha kumrushia Dougiemasta14 hiyo clip.
Sasa unaambiwa watoto wa uswazi walikuwa wanamfatilia sana toka aje bongo. huku na kule wakamvizia akiwa bila mama Diamond( Anajifanya Halima Kimwana na yeye kuwafwata fwata familia ya Diamond)Mnafki mkubwa , si anajifanya ana blog ya kuweka nyuuz aweke na hii .
Chezea watoto wa mbwa wewe, Kajala shoga zake ni masela wa Kinondoni aalafu analeta umaku.Ilimhusu nini kuwarekodi kina Kajala? kama sio uchonganishi? Kama kujipendekeza kwa Wema ndo mpaka amrekodi kajala?
Ndo maana hanenepi kwa unafiki.Na bado mpaka tukuvunje kiuno mwaka huu. Kila ukija bongo utakuwa unapokea kipondo
Bora amekula kipigo. huyu mwanamke ni noma kwa umbea. Linapenda sana kurekodi watu. Alisema alivyomrekodi Lemutuz akipiga punyento kwenye Skype. Nyambaf,