Blogger apewa kipondo

Michambo ya kizungu bana hata haileti hata shida...ukichambana na huyo kikaragosi wa kizungu unakunja nne na kijuisi cha ukwaju hakuna stress wala mshipa wa ---- haushtuki...raha ya mchambo ---- litikisike ka unatoa shahawa

Umenichekeshaaa, raha ya mchambo mchambane kwa lugha ya taifa...uchambwe yakuingie...
 
Alitukimbia vitu vimegeuka achali atalamba na kula hivyo hivyo asituchezeee

Halafu we ndo umeyataka, Mbeba pochi wako sijui umemficha wapi....huyu tungempa therapy ya kwapa wala asingekurupuka usiku wa mananee....
 
Halafu we ndo umeyataka, Mbeba pochi wako sijui umemficha wapi....huyu tungempa therapy ya kwapa wala asingekurupuka usiku wa mananee....

Mbeba pochii alinitorokaaa banaa,ila usijali tafuta mwinginee maana mgonjwa hali si shwariii
 
Mbeba pochii alinitorokaaa banaa,ila usijali tafuta mwinginee maana mgonjwa hali si shwariii

Ngoja nifanye haraka kumtafuta manake nahisi kipigo kimemshtua ubongo...si bure...
 
Huyu anapenda sana kurekodi watu. Hata email zako na text anaweka kukuchafualia, anakurekodi hata ukiingia naye chumbani alivyomrekodi Lemutuz akichezea bamia yake kwenye Sype !

mi nilikua namuona innocent nkawa namuona mbuta nanga mkorofi kumbe hii ndo shida na nlikua mfuatliaji mzur wa blog yake kwa hili hanipati tena
chakubimbi yule,mnafki,mjaaruta!!
wazungu wanamtafuta mparamia ukutA
 
Samahan mi ni nesi wa zamu utaniulia mgonjwa naomba upunguzr dozii
 
Huyu anapenda sana kurekodi watu. Hata email zako na text anaweka kukuchafualia, anakurekodi hata ukiingia naye chumbani alivyomrekodi Lemutuz akichezea bamia yake kwenye Sype !

aiseeee kumbe hafai hata kwa mbolea jestina apigwe tu l
 
mi nilikua namuona innocent nkawa namuona mbuta nanga mkorofi kumbe hii ndo shida na nlikua mfuatliaji mzur wa blog yake kwa hili hanipati tena
chakubimbi yule,mnafki,mjaaruta!!
wazungu wanamtafuta mparamia ukutA

hata mi jana nilidhani wamemuonea kumbe anastahili kipigo haswa
 
Umenichekeshaaa, raha ya mchambo mchambane kwa lugha ya taifa...uchambwe yakuingie...

Hahaha mim ananichosha tu na kizungu chake...kwanza anatunyemelea usiku tumelala ndo anaushusha ung'eng'e ka popo...anaboa na kimchambo chake arudi kwa lugha yetu kinoge..haha
 
Hahaha mim ananichosha tu na kizungu chake...kwanza anatunyemelea usiku tumelala ndo anaushusha ung'eng'e ka popo...anaboa na kimchambo chake arudi kwa lugha yetu kinoge..haha

anauguza vidonda bibi bomba
maumivu yakizidi amuone daktarii
 
Haupo mwenywe,

Ndo nawaelewa sasa hvi
 
Nimesoma comments kule U Turn kwa Mange,kumbe huyu jestina jinga sana.kamtelekeza mwanae wa nchini ya 6yrs huko kwao morogoro.Yeye anakalia umbea,aisee nimemchukia mbaya,mwanzo nilikuwa sina data zake.Kumbe ana 37yrs.aisee halafu unaambiwa alikuwa team Penny huyu sasa yuko kwa wema.Anafuata nyuki ona anavyopata manundu.
 
Duuuuuuu mweeeeeeeee
 
Duuuuuuu mweeeeeeeee
Yaani anaona sifa kwenda kula dinner kwa Diamond,wakati mwanae yupo kijijini,aisee ustar wa kujilazimisha kazi,kumbe anaishi kwa benefits,mwe tax za wazungu wanaofanya kazi.ustaa njaa kazi
 
Unaamini kila kitu unachokisoma kwenye hayo mablogu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…