Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,709
Michambo ya kizungu bana hata haileti hata shida...ukichambana na huyo kikaragosi wa kizungu unakunja nne na kijuisi cha ukwaju hakuna stress wala mshipa wa ---- haushtuki...raha ya mchambo ---- litikisike ka unatoa shahawa
Umenichekeshaaa, raha ya mchambo mchambane kwa lugha ya taifa...uchambwe yakuingie...