Blogger apewa kipondo

Blogger apewa kipondo

Ntakufa vipi wkt ain't jestina  too sad how people with such education act..ndo maana I have come to conclusion my country has the stupidest people ever ebu see this I cry ooooh!jezoooooo fix this

Yes We are Stupidity like Jestina , She need to take care of her Family not Mama Diamond Family
 
Kaja usiku usiku hahahaaaa....kweli huyu mbea, kavizia watu wamelala ndo kaja kujimwaga kama mwangaaa....

Dinazarde, geniveros mukuje huku mgonjwa alipata nguvu usikuuu....chezea kichapo....

Bora tu wasimuumize maana yule akipelekwa hospitali hashoneki. Mwili wake umeongua na mkorogo. Aisee amekuwa mzungu pori, mkorogo hatareeeeee

Mwangalie vidole, utafikiri wabeba moto na mikono wakisokota bange. Magoti na vidole vyeusi ti wakati uso utafiki ngedere. Na apigwe tu, au Team Mbuta Nanga ndio imefanya vitu?

Anatafuta umaarufu tu, hana lolote, heti yuko karibu na familia ya mama diamondi, au keshalalwa na dimondo?
 
Hhhhaaaaa nimecheka sanaaaa,na watu watamuogopa kukaa nae maana watahisi wanarekodiwa hizi simu zimeleta mengii

Huyu anapenda sana kurekodi watu. Hata email zako na text anaweka kukuchafualia, anakurekodi hata ukiingia naye chumbani alivyomrekodi Lemutuz akichezea bamia yake kwenye Sype !
 
Kaja usiku usiku hahahaaaa....kweli huyu mbea, kavizia watu wamelala ndo kaja kujimwaga kama mwangaaa....

Dinazarde, geniveros mukuje huku mgonjwa alipata nguvu usikuuu....chezea kichapo....

Si mlipa juisi ya ndimu,mkasugua kwa siki kwa nini mgonjwa asifufuke?? Na anahasira vibaya.
 
Last edited by a moderator:
Bora tu wasimuumize maana yule akipelekwa hospitali hashoneki. Mwili wake umeongua na mkorogo. Aisee amekuwa mzungu pori, mkorogo hatareeeeee

Mwangalie vidole, utafikiri wabeba moto na mikono wakisokota bange. Magoti na vidole vyeusi ti wakati uso utafiki ngedere. Na apigwe tu, au Team Mbuta Nanga ndio imefanya vitu?

Anatafuta umaarufu tu, hana lolote, heti yuko karibu na familia ya mama diamondi, au keshalalwa na dimondo?

Kama ndo hivyo bora tu wampapase hivyo hivyo...ila na ile mifupa sijui hata wamepiga wapi masikini...!

Halafu nachoipendea familia ya Diamond ukijipendekeza kwao wao wanakusolola tu...utachoka mwenyewe....awaulize Penny na Halima kimwana...wako wapi? Sijui kama harusi ya Asmah walialikwa.....wale washaishi uswahilini wanawajulia masnitch kama hawa.....!
 
Huyu anapenda sana kurekodi watu. Hata email zako na text anaweka kukuchafualia, anakurekodi hata ukiingia naye chumbani alivyomrekodi Lemutuz akichezea bamia yake kwenye Sype !

Ilinipita hii.....
 
Huyu anapenda sana kurekodi watu. Hata email zako na text anaweka kukuchafualia, anakurekodi hata ukiingia naye chumbani alivyomrekodi Lemutuz akichezea bamia yake kwenye Sype !

Kama ni hivyo na apigwe tuuu...Loh sipati picha Mzee wa cyber crime alivyokuwa anarembua humo kwenye hiyo clip.....!

Mweee watu wa mjini wana roho mbayaa (in mkude simba's voice)
 
Kaja usiku usiku hahahaaaa....kweli huyu mbea, kavizia watu wamelala ndo kaja kujimwaga kama mwangaaa....
Dinazarde, geniveros mukuje huku mgonjwa alipata nguvu usikuuu....chezea kichapo....

Eeeeee jamaniiiii nililala heee kumbe hebu leta vile vifaa mi vitu mpaka vimekua achali
 
Last edited by a moderator:
Wewe mama utakufa bure na presha jf na hiko kingereza chako watu humu wamesoma masingular mpaka maplural.Mtafute Le Mutuz akupe dawa ya uvumilivu kwenye mitandao.

Anajikaza hapooo weee hujui tu hajui sie huku tushakua sugu na kila aina ya michambo,muachagee tuu
 
Heeeeeee bibi michambo ya kizungu hainog mi nimekomea la saba mwenzio ebu andikaga kiswahili au ntakujibu kisonjo sasa Kim nana amkaga hebu ukujee

Michambo ya kizungu bana hata haileti hata shida...ukichambana na huyo kikaragosi wa kizungu unakunja nne na kijuisi cha ukwaju hakuna stress wala mshipa wa ---- haushtuki...raha ya mchambo ---- litikisike ka unatoa shahawa
 
Last edited by a moderator:
Michambo ya kizungu bana hata haileti hata shida...ukichambana na huyo kikaragosi wa kizungu unakunja nne na kijuisi cha ukwaju hakuna stress wala mshipa wa ---- haushtuki...raha ya mchambo ---- litikisike ka unatoa shahawa

Alaaaa halaf mchambo ukukune uone mtu anapaniki ndio raha kabisa burudaniii
 
vp lakini concaindiva ngeu zinaendeleaje
tumia unga wa ppf na salimia ya kujichua
 
Back
Top Bottom