Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

Kwani ni lazima nikujibu pindi tu ninavyosoma
Usumbufu huu ndio maana nimeamua kutoa option hiyo. Bora mtu asiwe na uhakika kama nimesoma ama bado
Na unajiona mjanja kutumia hizo unofficial WhatsApp?
 
Hiyo option ipo
Unaenda kwenye setting
Then account
Then privacy
Then read recipient unaweka off
Hapo hataona blue tick zako .pia wewe hutaona blue tick zake
 
Acha ubabe mrembo
 
Wacha kila mmoja apambane na hali take, anaekukaushia nawekaushie


Ila kuhusu uchafuzi was nchi nzi was kijani wanahusika na ndo chanzo cha kupoteza uzalendo was watu kwa nchi yao🚶🚶🚶
 
Hiyo option ipo
Unaenda kwenye setting
Then account
Then privacy
Then read recipient unaweka off
Hapo hataona blue tick zako .pia wewe hutaona blue tick zake
Good looking out.

Nilishablock watu kuona kama nipo online ama la, hii nitawaachia tu kwa sasa maana isije kuwa too much.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…