Mercenary Army
JF-Expert Member
- Jun 2, 2017
- 276
- 641
Wiki moja mbona kidogo sana???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie babyUnakuta ujumbe, "Baby nikwambie kitu?"
Niambie baby
Mzee baba umenifanya nimecheka mpaka machozi yamenitoka sebule nzima wananishangaa. Hahahahahaaaa hii kiboko, miaka 4?Wiki moja mbona kidogo sana???View attachment 1623666
Ndiyo maana yake, au hata ukiwa block kabisa.Na wao hawapaswi kulalamika siku nikiwafanyia blueticking siku 7...
Na unajiona mjanja kutumia hizo unofficial WhatsApp?Kwani ni lazima nikujibu pindi tu ninavyosoma
Usumbufu huu ndio maana nimeamua kutoa option hiyo. Bora mtu asiwe na uhakika kama nimesoma ama bado
Simu inaweza kuwa imeshikwa na mtoto wake!!!
Hiyo option ipoWangeweka option ya kukataa kuonesha kama umesoma au hujasoma text ingesaidia pia.
Kama walivyoweka option ya kuficha last time mtu alivyokuwa online.
Sasa mtu yupo katika mikutano yake muhimu, unataka akatishe mikutano kukujibu wewe message ya salamu Whatsapp?
Akianza kukujibu napo atapata lawama kutoka watu alio nao kwenye mkutano.
Huyu katudharau, yupo nasi hapa kwenye mkutano, lakini haweki attention hapa, anajibu messages za Whatsapp!
Na unajiona mjanja kutumia hizo unofficial WhatsApp?
Acha ubabe mremboKuna za ubize na za dharau pia, ila nyingi ni za dharau.
Mtu uko busy kwanini ufungue msg? Ni bora uache itiki ile ya kuonesha msg imefika vitiki viwili lakini mtu na madharau yake unakuta anafungua na hajisikii kukujibu.
Binafsi uwa najisikia vibaya, na ukiniblue tick kwangu lazima nikulipizie no matter vile utapokea
nmebet nmepata million 2 nataka nkurushie hats laki 2½ 🚶🚶🚶Niambie baby
Good looking out.Hiyo option ipo
Unaenda kwenye setting
Then account
Then privacy
Then read recipient unaweka off
Hapo hataona blue tick zako .pia wewe hutaona blue tick zake
Duh basi tuko tofautiDharau!
Wadada wanapenda WhatsApp yeye asiwe wa mwisho kwenye conversation!
Weka picha karmaDuh basi tuko tofauti
Mie huwa napenda ndiyo niwe wa mwisho hata kama nitakosa kabisa cha kuchat nitaweka hata emojis ili mradi tu niwe wa mwisho