Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

1. Huna Thamani kwa huyo unaemtumia Ujumbe.

2. Ni Dharau tu

Mimi binafsi nikikutumia ikafika achilia mbali hizo blue tick, ikishafika na ninaona unawasiliana kwa whatsapp au hata nikikupigia simu mara tatu usipokee na wala usije ukanitafuta ama nikutumie sms ikufikie ila usiijibu. Huwa nafuta namba na hata tukikutana njiani tusisalimiane
 
Kama ni ujumbe wa muhimu lazima atajibu kwa wakati.

Mtu umechoka na mihangaiko ya maisha halafu mtu anaanza kukutumia salamu, unajibu halafu zinakuja story za darasa la saba, mara shimba na Yamba , mara Man Yu, mara mademu na mtu ushaoa miaka 20, Halafu mwishoni unapiga mzinga.

Tick zitakaa miaka 2 tuu.
 
Un

Anafanyaje mbona mm sijaijua mkuu, kwenye eneogani nagusa? Majibu tafadhali, nahitaji hiyo blue tick isitokee.

Ingia Whatsapp settings, Account, privacy halafu weka OFF hiyo option.

Ila ujue ukiweka off pia hutaona Tick za unayechat naye, na pia hutaona walioangalia status yako
 
Attachments

  • Screenshot_20201113-194410~2.png
    Screenshot_20201113-194410~2.png
    34 KB · Views: 5
Mtu umechoka na mihangaiko ya maisha halafu mtu anaanza kukutumia salamu, unajibu halafu zinakuja story za darasa la saba, mara shimba na Yamba , mara Man Yu, mara mademu na mtu ushaoa miaka 20, Halafu mwishoni unapiga mzinga.
Sender atajuaje kuwa receiver amechoka na mihangaiko ya maisha pasipo kuambiwa?

USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako ila nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy sana"...
 
Mimi binafsi nikikutumia ikafika achilia mbali hizo blue tick, ikishafika na ninaona unawasiliana kwa whatsapp au hata nikikupigia simu mara tatu usipokee na wala usije ukanitafuta ama nikutumie sms ikufikie ila usiijibu. Huwa nafuta namba na hata tukikutana njiani tusisalimiane
Hahahahahaaaaaa daaah mkuu hicho kipengele cha mwisho cha kutosalimiana njiani ndio kimeniacha hoi aisee
 
Back
Top Bottom