Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
😂😂😂😂😂 Khaaa..Haa ww sikubali yani ww ndio kama mtoto mzuri
na mm ndio najiona bonge la blazamen/bishololo nimekutumia sms hunijibu nakuroga kabisa hahaa....
manake utakuwa umenidharau balaa!