πππππ Khaaa..Haa ww sikubali yani ww ndio kama mtoto mzuri
na mm ndio najiona bonge la blazamen/bishololo nimekutumia sms hunijibu nakuroga kabisa hahaa....
manake utakuwa umenidharau balaa!
YaaapOkay
HahahahaaaaaHaa ww sikubali yani ww ndio kama mtoto mzuri
na mm ndio najiona bonge la blazamen/bishololo nimekutumia sms hunijibu nakuroga kabisa hahaa....
manake utakuwa umenidharau balaa!
Ushauri mzuri huu...Kuondokana na bluetick tumia whatsapp pori kama GB WhatsApp , au badili mpangilio kwenye simu yako.
Anafanyaje mbona mm sijaijua mkuu, kwenye eneogani nagusa? Majibu tafadhali, nahitaji hiyo blue tick isitokee.Hiyo option ipo mkuu.Mi nikitumiwa text naifungua,ila aliye tuma haimletei ile blue tick.
Un
Anafanyaje mbona mm sijaijua mkuu, kwenye eneogani nagusa? Majibu tafadhali, nahitaji hiyo blue tick isitokee.
GoodIngia Whatsapp settings, Account, privacy halafu weka OFF hiyo option.
Ila ujue ukiweka off pia hutaona Tick za unayechat naye, na pia hutaona walioangalia status yako
Naaam, safi sana mkuuKama ambavyo hutaki waone umewablue tick message zao, seti pia usione bluetick kwa message zako. Inakula kotekote!
Alisemaga Jakaya
Nenda kwenye settings,Account,PrivacyUn
Anafanyaje mbona mm sijaijua mkuu, kwenye eneogani nagusa? Majibu tafadhali, nahitaji hiyo blue tick isitokee.
NnksIngia Whatsapp settings, Account, privacy halafu weka OFF hiyo option.
Ila ujue ukiweka off pia hutaona Tick za unayechat naye, na pia hutaona walioangalia status yako
CoolThanks, let me trying
Nnks
Sawa mtu wa ICTNenda kwenye settings,Account,Privacy
Then shuka kule chini,turn OFF read receipts.
Sawa boss...Kama ni ujumbe wa muhimu lazima atajibu kwa wakati.
Sender atajuaje kuwa receiver amechoka na mihangaiko ya maisha pasipo kuambiwa?Mtu umechoka na mihangaiko ya maisha halafu mtu anaanza kukutumia salamu, unajibu halafu zinakuja story za darasa la saba, mara shimba na Yamba , mara Man Yu, mara mademu na mtu ushaoa miaka 20, Halafu mwishoni unapiga mzinga.
Ticks kukaa zaidi ya siku 7 (wiki moja) sio fair hata kidogo mkuuTick zitakaa miaka 2 tuu.
Daaah, maneno mazito sana haya mkuu, ila ndio hivyo tena waingereza wanasema ni "bitter truth"...1. Huna Thamani kwa huyo unaemtumia Ujumbe.
2. Ni Dharau tu
Hahahahahaaaaaa daaah mkuu hicho kipengele cha mwisho cha kutosalimiana njiani ndio kimeniacha hoi aiseeMimi binafsi nikikutumia ikafika achilia mbali hizo blue tick, ikishafika na ninaona unawasiliana kwa whatsapp au hata nikikupigia simu mara tatu usipokee na wala usije ukanitafuta ama nikutumie sms ikufikie ila usiijibu. Huwa nafuta namba na hata tukikutana njiani tusisalimiane
Unaweza pia ukaingia Google ama Youtube ukasoma mzee babaUn
Anafanyaje mbona mm sijaijua mkuu, kwenye eneogani nagusa? Majibu tafadhali, nahitaji hiyo blue tick isitokee.