Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Mimi ninazungumzia Blue Ticks mkuu. Hawa ambao wanaona fika message haijawa delivered wao wana matatizo yao binafsi...Ila kutuma msg whatsapp na kusubiri jibu wakati issue ni ya haraka ni uzwazwa. Wengine anaona kabisa msg haijawa delivered ila bado tu anasubiri mtu aingie online ili amjibu
Kama mtu anakuweka blue tick siku 7, hawezi pokea simu wala kujibu sms zako mkuuKwanini usitume SMS tu isiyohitaji internet au upige simu kabisa?
Sasa hilo ni tatizo na it is a matter of “if you cant read, at least you can see the symbol”😁Kama mtu anakuweka blue tick siku 7, hawezi pokea simu wala kujibu sms zako mkuu
Hii ipo kwenye WhatsApp BusinessSender atajuaje kuwa receiver amechoka na mihangaiko ya maisha pasipo kuambiwa?
USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako ila nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy sana"...
Noma sana mkuuNi upumbavu kutojibu meseji muda wote uo,, tena kama ni mimi nambloki kabisa
Tatizo ni kwamba, wao ni higher income ila mimi ni lower incomeUnahisi tatizo ni nini mkuu?
Njoo PM my wanguNitumie mie nitakujibu upesi
Kama ambavyo anakuwa ameamua hivyo, nitayaheshimu maamuzi yake ila nami nitaamua nitakavyoHahahahahaaaaaa daaah mkuu hicho kipengele cha mwisho cha kutosalimiana nyumbani ndio kimeniacha hoi aisee
Sawa mkuuKama ambavyo anakuwa ameamua hivyo, nitayaheshimu maamuzi yake ila nami nitaamua nitakavyo
I love youHii ipo kwenye WhatsApp Business
USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako ila nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy sana"...Wakati mwingine watu huwa wanalazimika 1. kufungua hizo message tu ile whatsapp isiendelee kuipop up hiyo message kwenye notification kila wakati.
2.Wengine wanashindwa kukujibu kwa wakati huko kwa sababu wanajua wakijibu utaendeleza mazungumzo na wana shughuli nyingine.
Umekosea namba.I love you
Basi sawa Pisi KaliTatizo ni kwamba, wao ni higher income ila mimi ni lower income
Hapo "Last seen" lazima iwe off yaan [emoji3][emoji3]Kwani ni lazima nikujibu pindi tu ninavyosoma
Usumbufu huu ndio maana nimeamua kutoa option hiyo. Bora mtu asiwe na uhakika kama nimesoma ama bado
Nimedisable vyote mkuuHapo "Last seen" lazima iwe off yaan [emoji3][emoji3]
CoolNimedisable vyote mkuu
Sawa boss...Situmii WhatsApp mkuu!
Asiyenipenda na mimi simpendi na kuchat ndio lugha ya watu wa huku mjini siku hizi mkuu.Lakini hupaswi kuumia kwa kutopendwa na watu wengine, pia kuchat ni lugha ya kitoto sana... nimejikita kwenye mfano wako tu.