Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

Ila kutuma msg whatsapp na kusubiri jibu wakati issue ni ya haraka ni uzwazwa. Wengine anaona kabisa msg haijawa delivered ila bado tu anasubiri mtu aingie online ili amjibu

Kwanini usitume SMS tu isiyohitaji internet au upige simu kabisa?
 
Sender atajuaje kuwa receiver amechoka na mihangaiko ya maisha pasipo kuambiwa?

USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako ila nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy sana"...
Hii ipo kwenye WhatsApp Business
 
Wakati mwingine watu huwa wanalazimika 1. kufungua hizo message tu ile whatsapp isiendelee kuipop up hiyo message kwenye notification kila wakati.
2.Wengine wanashindwa kukujibu kwa wakati huko kwa sababu wanajua wakijibu utaendeleza mazungumzo na wana shughuli nyingine.

Back
Top Bottom