Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Good looking out kaka.Hiyo option ipo mkuu.Mi nikitumiwa text naifungua,ila aliye tuma haimletei ile blue tick.
Nitaitafuta niiweke.
In context, set no expectations, expect none.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good looking out kaka.Hiyo option ipo mkuu.Mi nikitumiwa text naifungua,ila aliye tuma haimletei ile blue tick.
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41]View attachment 1623497
Hata kama unafunga goli unaacha kufunga goli ili ujibu text?Kawaida yangu mtu asipojibu text hatokaa aone text yangu kwake daima.
Ukizingatia mimi kwa gharama yeyote huwa lazima nijibu text ya mtu.
Naweza nisijibu kwa muda huo kweli ila lazima niijibu hata baadae. Hata mimi sipendi mtu aignore text au call yangu akichelewa sio ishu. Ishu ni kuipuuza.Hata kama unafunga goli unaacha kufunga goli ili ujibu text?
Mimi hata mtu akinipuuza nafurahi tu.Naweza nisijibu kwa muda huo kweli ila lazima niijibu hata baadae. Hata mimi sipendi mtu aignore text au call yangu akichelewa sio ishu. Ishu ni kuipuuza.
Kwa hiyo ni dharau sio?Kuna za ubize na za dharau pia, ila nyingi ni za dharau.
Mtu uko busy kwanini ufungue msg? Ni bora uache itiki ile ya kuonesha msg imefika vitiki viwili lakini mtu na madharau yake unakuta anafungua na hajisikii kukujibu.
Binafsi uwa najisikia vibaya, na ukiniblue tick kwangu lazima nikulipizie no matter vile utapokea
Kuna baadhi ya jumbe zinahitaji "quick response" na zingine hazina ulazima wa kujibiwa haraka...Kuweka expectations za mtu kukujibu kwa muda fulani ni aina fulani ya insecurity.
Kila mtu ana haki ya kuamua yeye mwenyewe ujumbe gani unahitaji quick response na upi uanweza kusubiri.Kuna baadhi ya jumbe zinahitaji "quick response" na zingine hazina ulazima wa kujibiwa haraka...
MhhhWatu tunaotafutwa kwa kiasi kikubwa hatuna tatizo hilo.
Na mtu akichelewa kunijibu, that is his/her loss.
Kwa sababu mara nyingine nasalimia watu nikiwa na mood ya kugawa hela na zawadi ndogo ndogo zisizopungua thamani ya $100 🙂
Au kutoa bonge la idea ya kumfungua macho mtu. Au kumfariji mtu.
Wanaonijua huwa hawakawii kunijibu, wanaokawia kunijibu hawanijui. Nami sina hulka ya kutaka kujulikana au kuombeleza urafiki.
Sawa...Kila mtu ana haki ya kuamua yeye mwenyewe ujumbe gani unahitaji quick response na upi uanweza kusubiri.
Na wao hawapaswi kulalamika siku nikiwafanyia blueticking siku 7...Usimpangie mtu mwingine ujumbe gani unahitaji quick response. Wala usiache yeye akupangie wewe hilo.
Sawa mkuuTumia WhatsApp Business, iyo kitu ipo kule
I do care...Who the hell cares!?!?
OkayI do care...
Kwa maana wewe ni DON na upo self-satisfactorySi wengine wala hatutafutagi watu popote pale.