Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,364
- 12,456
Kwanini asitake kujibu?Kama hataki kujibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asitake kujibu?Kama hataki kujibu?
😂😂😂😂😂Mkuu, huyo jamaa ana PhD ya ubishi na JF nzima wanamjua
Uwe na siku njemaHaya
Jifunze kuheshimu maamuzi ya mtu, hata kama hujaridhia ama hayakupendeziNa unajiona mjanja kutumia hizo unofficial WhatsApp?
Kama unaona mtu hamuendani tabia ni wa kuachana naye tu mkuu. Mimi nimetemana na watu wengi sana ambao ninatofautiana nao pakubwaJifunze kuheshimu maamuzi ya mtu, hata kama hujaridhia ama hayakupendezi
Hakuthamini. Hakujali. Unamsumbua.Hana muda wa kupoteza kukujibu wewe.Kwanini asitake kujibu?
Kama unaona mtu hamuendani tabia ni wa kuachana naye mara moja.Hakuthamini. Hakujali. Unamsumbua.Hana muda wa kupoteza kukujibu wewe.
CoolUwe na siku njema
😂😂😂hahahahaaa😂😂😂😂😂
Alafu unakuta blue ticks zimekaa siku 7Kwanini asitake kujibu?
She must be a magicianDuuh unaujua umri wangu
Kumbe hayo nayo ni masuala ya umri eenh
Duuh hii mpya, nimegundua kwa nini watu wengine wanafanya vile wanavyofanyaDharau!
Wadada wanapenda WhatsApp yeye asiwe wa mwisho kwenye conversation!
Duuh hii mpya, nimegundua kwa nini watu wengine wanafanya vile wanavyofanya
Sahihi kabisa mkuu. Ukisema ufuatilie kila jambo huo ndio unakuwa mwanzo wa kuumwa ugonjwa wa moyoDunia ina mengi mengine si ya kuumiza Kufatilia [emoji23]
Kwanini wanafanya mkuu?Duuh hii mpya, nimegundua kwa nini watu wengine wanafanya vile wanavyofanya
Kwani hujasoma komenti niliyoiquote?Kwanini wanafanya mkuu?
Okay...Wengine sie ni wavivu kujibu text/sms.
USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako na nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy"Wengine sie ni wavivu kujibu text/sms. Mtusamehe tyuuuuh