Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #121
Sawa bossKwani hujasoma komenti niliyoiquote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bossKwani hujasoma komenti niliyoiquote?
aliekutuma kamwambie umewakuta hawapo.ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Hahahahahaaa, hapana mkuu huo ni mfano tu mzee baba...Inaonekana ni mkopaji sana mkuu
Sizungumzii mimi bali hii ni kero kwa wengi katika jamii kuhusiana na masuala mbalimbali hata kama hayahusiani na pesabadili njia yakufikisha ujumbe iliusikereke,,piga simu kabisa
SawaHaya
Nani amenituma? Akina nani hao hawapo?aliekutuma kamwambie umewakuta hawapo.
Mkuu, huyo jamaa ana PhD ya ubishi na JF nzima wanamjua
Anaelezea ubishi wake ambao hauna tijaSiyo mbishi si anaelezea facts hapo
Sawa my dadaBasi tu mie napenda
MhhhUnalazimisha kujibiwa?
Nafanyaje isitokee blue tick? Najaribu ashindwa, napenda mtu asijue kama nimepokea mag yakeHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Wewe binafsi unalichukuliaje hili suala la blue ticks za whatsapp kukaa muda mrefu (wiki moja)? Ni kwamba, huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau?
View attachment 1623490
MFANO MDOGO APRIL 2018
=========
Unakuta una-chat na mtu ambaye ni classmate wako vizuri tu siku ya weekend jumamosi usiku, yeye anakaa Mwanza na wewe upo Dar, labda kuhusiana na masuala ya mpira wa simba na yanga.
Ukimtumia message ndani ya sekunde chache tu zinatokea zile ticks mbili za blue na ndani ya sekunde hizo hizo classmate anajibu na mnaendelea hivyo hivyo hata kwa muda wa dakika 5 huku mkichekeana na emoji mpaka zile za kurusha miguu juu.
Sasa gusia tu suala la kutaka kukopa pesa kisha umrudishie mwakani 2019 ghafla utaona zile blue ticks mbili zimetokea alafu mtu hajibu tena. Hajibu tena na chat chat ndio imeisha hapo hapo. Utangojea weeeeee mpaka basi.
Baada ya week kama tatu hivi classmate huyo huyo ndiye amepata shida ya ghafla na amekutumia message Whatsapp saa 12 asubuhi na wewe umekuja kuiona na kumjibu saa 10 jioni utamsikia "Daaah mwanangu vp, ina maana message ya tangia muda ule ndio unanijibu sasa hivi mkuu?"
=====
Mifano ni mingi kweli kweli na nikisema yote niiweke humu hakika hapatatosha.
USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako na nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy"
Wewe binafsi unalichukuliaje hili suala la blueticks za whatsapp kukaa muda mrefu (wiki moja)?
NDUGU YANGU USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Maoni ya mdau
=====
Sawa mkuuNdio maana kwangu niliweka option ambayo hata nikisoma ujumbe wako hutaona hivyo vidude vya bluu
Well saidKuondokana na bluetick tumia whatsapp pori kama GB WhatsApp , au badili mpangilio kwenye simu yako.
Haa ww sikubali yani ww ndio kama mtoto mzuriInategemea Kuna ubusy na kukausha tu....
Binafsi Kama sitaki text yako huwa nasoma Kisha nakausha..sasa wewe ujiongeze.
Nilikuwa sijaijua hii black tick ngoja nikaiweke kwa speed asante kwa maarifa....Wanaume wachepukaji wanaset black ticks ili usijue kama kaisoma huo upuuzi tunaujua ila we really dont care eboooo😏😏😏
OkayNilikuwa sijaijua hii black tick ngoja nikaiweke kwa speed asante kwa maarifa....