Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

Blue ticks za whatsapp: Ni kwamba huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau za waziwazi?

Take it easy, don't take it too seriously!
USHAURI WANGU: Hao Whatsapp kama wanaweza pale katika emoji zao waweke "quick text" ambayo mtu akibonyeza mara moja itaandika "Nimepokea ujumbe wako ila nitakujibu nikipata nafasi, kwa sasa nipo busy"
 
Kuna za ubize na za dharau pia, ila nyingi ni za dharau.

Mtu uko busy kwanini ufungue msg? Ni bora uache itiki ile ya kuonesha msg imefika vitiki viwili lakini mtu na madharau yake unakuta anafungua na hajisikii kukujibu.
Binafsi uwa najisikia vibaya, na ukiniblue tick kwangu lazima nikulipizie no matter vile utapokea
Mkuu watu tupo tofauti sana..

Mimi naumizwa na whatsap ticks zile mbili.( received).

Kuliko blue ticks.

Utakuta mtu umemtumia sms whtsap week nzima haina blue ticks na hajibu chochote..
Na yupo kimya..

Especially wanawake ndy wenye mambo hayo.
Sasa sijuwi wanafuta sms bila kuisoma,,
Mimi naumia mno.
 
Ukiona unaumia basi huyo mutu iko mupenda wewe ila saahii yuko na maringo
 
Back
Top Bottom