Kwenye mfano wako huo unaboronga sana. Ikiwa unapanga bajeti ya vitu vilivyopita, unaweza kufikia 98.7% au hata 100% ya vile ulivyopanga kwa sababu kila kitu unakijua.
Lakini kama unapanga bajeti ya mwaka unaokuja inabidi utegemee forecast zako ya vitu unavyojua na usivyovijua. Na kutokana na kuwa forecast sio sayansi, haziko accurate na kuna matatizo yasio tabirika yanayoweza kutokea, basi ni vizuri kujaribu kuwa effecient na sio kung'ang'ania kuwa Precision.
Bajeti ya vitu vilivyopita?
Unaelewa maana ya bajeti?
Chukulia mfano wa mchezo wa drafti,kingi ina precise power,inamove back and forth kama vile wanavyosema kuhusu sheria kwamba ni msumeno unaokata pande zote,hata hivyo kingi hiyo kwenye mchezo wa drafti ni lazima uizungushe kadri uwezavyo ili pale zinapokuwa aligned na kete nyingine either uweze kuzila ama kingi yenyewe iliwe,sambamba na sheria,preciness ya lugha yake iko pale pale,lakini kwenye kesi,sheria hiyo ni lazima itafsiriwe ili either imput someone in to gulity ama im exenorate....Precisely.
Sir:
I don't know. Please enlight me.
Since you don't know what you are talking about, I don't know that you don't know.
Look it up and construct your rationale in context. Bajeti ni kwa vitu vinavyokuja, otherwise ukiongelea vitu vilivyopita hiyo inakuwa ni review, sasa hii bajeti ya vitu vilivyopita ikoje, labda wewe ndiye uliye na cha kunielimisha mimi.
Unapopanga kufanya matumizi ya kulipa madeni ya vitu ulivyotumia kwa mikopo, je unapanga bajeti au unafanya review?
Nadhani ulijibu posti yangu bila kuimaliza au kuelewa nachotaka kusema.
Wewe na Julius mnapenda ligi ila deep down in your heart you know that precision matters - huwezi kupanga kufanya vitu kwa 100% alafu margin of error yako iwe 50%!
Haya mambo ya kudhani dhani haya ndio yanaharibu precision! Katika dunia ya precision hypotheses must be tested and accepted or rejected!
Cheki hawa...sijui wanatoka au sijui ndo wanaenda shule! Naona wamebeba mabegi ya mgongoni. At least wameonesha maendeleo hapo...Lol
What is inhibiting Africa south of the Sahara from developing? The answer is simple!
So the problem is not only not being precise but also lack of ingenuity, self confidence, motivation, and much more.
Hapo chini ni bandiko lako na nilidhani umeconnect issue hizo mbili kutokana na kiunganishi "tena"Bluray said:Sikusema kwamba the second law inaendana na uncertainty principle, nimesema the second law inakataza 100% efficiency.
Bluray said:Hata wanafizikia wana "The Second Law of Thermodynamics" inayokataza efficiency ya 100%
Tena wana Heinzerbergs Uncertainty Principle inayosema kwamba huwezi kujua position na momentum ya particles 100% kwa wakati mmoja.
I will try,Bluray said:Halafu unaweza kuonyesha uhusiano wa The third law na Heisenberg's principle?
Precision in comprehension please.
Hili sio suala la kushawishiwa na kushawishika. Ni suala la kuthibitishiwa na kukubali thibitisho. You can't argue against a precise thing. It is precise.
Do you care to know? Precision is about knowing not only for sure whether they are coming or going to school but also why they are dandia-ring!