Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 137
Kwenye mfano wako huo unaboronga sana. Ikiwa unapanga bajeti ya vitu vilivyopita, unaweza kufikia 98.7% au hata 100% ya vile ulivyopanga kwa sababu kila kitu unakijua.
Lakini kama unapanga bajeti ya mwaka unaokuja inabidi utegemee forecast zako ya vitu unavyojua na usivyovijua. Na kutokana na kuwa forecast sio sayansi, haziko accurate na kuna matatizo yasio tabirika yanayoweza kutokea, basi ni vizuri kujaribu kuwa effecient na sio kung'ang'ania kuwa Precision.
Bajeti ya vitu vilivyopita?
Unaelewa maana ya bajeti?