Bluray and the Role of Preciseness/Precision in Development

Bluray and the Role of Preciseness/Precision in Development

Kwenye mfano wako huo unaboronga sana. Ikiwa unapanga bajeti ya vitu vilivyopita, unaweza kufikia 98.7% au hata 100% ya vile ulivyopanga kwa sababu kila kitu unakijua.

Lakini kama unapanga bajeti ya mwaka unaokuja inabidi utegemee forecast zako ya vitu unavyojua na usivyovijua. Na kutokana na kuwa forecast sio sayansi, haziko accurate na kuna matatizo yasio tabirika yanayoweza kutokea, basi ni vizuri kujaribu kuwa effecient na sio kung'ang'ania kuwa Precision.

Bajeti ya vitu vilivyopita?

Unaelewa maana ya bajeti?
 
Chukulia mfano wa mchezo wa drafti,kingi ina precise power,inamove back and forth kama vile wanavyosema kuhusu sheria kwamba ni msumeno unaokata pande zote,hata hivyo kingi hiyo kwenye mchezo wa drafti ni lazima uizungushe kadri uwezavyo ili pale zinapokuwa aligned na kete nyingine either uweze kuzila ama kingi yenyewe iliwe,sambamba na sheria,preciness ya lugha yake iko pale pale,lakini kwenye kesi,sheria hiyo ni lazima itafsiriwe ili either imput someone in to gulity ama im exenorate....Precisely.

Bado sijashawishika!
 
Sir:

I don't know. Please enlight me.

Since you don't know what you are talking about, I don't know that you don't know.

Look it up and construct your rationale in context. Bajeti ni kwa vitu vinavyokuja, otherwise ukiongelea vitu vilivyopita hiyo inakuwa ni review, sasa hii bajeti ya vitu vilivyopita ikoje, labda wewe ndiye uliye na cha kunielimisha mimi.
 
Unapopanga kufanya matumizi ya kulipa madeni ya vitu ulivyotumia kwa mikopo, je unapanga bajeti au unafanya review?

Nadhani ulijibu posti yangu bila kuimaliza au kuelewa nachotaka kusema.
 
Zakumi precision is an important concept in forecasting. Umewahi kufanya Time Series Analysis? Unajua umuhimu wa zile e zinazoji-cancel in the long run? Wewe na Julius mnapenda ligi ila deep down in your heart you know that precision matters - huwezi kupanga kufanya vitu kwa 100% alafu margin of error yako iwe 50%!
 
Unapopanga kufanya matumizi ya kulipa madeni ya vitu ulivyotumia kwa mikopo, je unapanga bajeti au unafanya review?

Nadhani ulijibu posti yangu bila kuimaliza au kuelewa nachotaka kusema.

Bajeti ya mkopo inatakiwa kufanywa kabla hujachukua mkopo. Unajua utachukua mkopo kiasi gani, riba itakuwa kiasi gani, utaulipa kwa muda gani, funds za kulipa utazipata wapi.Then unachukua mkopo. Huko mbele ukija kulipa unalipa tu kwa sababu budgeting ilishafanyika kabla.

Huwezi kuchukua mkopo bila ku budget kwanza, au ndiyo tunavyofanya bongo then tunashangaa tuna servicing fees za ajabu?
 
Wewe na Julius mnapenda ligi ila deep down in your heart you know that precision matters - huwezi kupanga kufanya vitu kwa 100% alafu margin of error yako iwe 50%!

Wapi niliposema kuwa precision si kitu muhimu?

Kwenye warehouse nilijifunza falsafa ya "do it right the first time". Hii falsafa inahusiana moja kwa moja na precision.
 
Cheki hawa...sijui wanatoka au sijui ndo wanaenda shule! Naona wamebeba mabegi ya mgongoni. At least wameonesha maendeleo hapo...Lol

2936.jpg
 
Nadhani ulijibu posti yangu bila kuimaliza au kuelewa nachotaka kusema.

Haya mambo ya kudhani dhani haya ndio yanaharibu precision! Katika dunia ya precision hypotheses must be tested and accepted or rejected!
 
Haya mambo ya kudhani dhani haya ndio yanaharibu precision! Katika dunia ya precision hypotheses must be tested and accepted or rejected!

Mwambie, aseme anachojua, sio anachodhani.

Kudhani ni haki yako, unaweza kudhani dunia ni bapa kwa yote tunayojali.

Ukiingia kwenye kujua, hapo tutakuuliza kila iota ya ujuzi wako imekujaje.
 
Bado sijashawishika!

Hili sio suala la kushawishiwa na kushawishika. Ni suala la kuthibitishiwa na kukubali thibitisho. You can't argue against a precise thing. It is precise.
 
Cheki hawa...sijui wanatoka au sijui ndo wanaenda shule! Naona wamebeba mabegi ya mgongoni. At least wameonesha maendeleo hapo...Lol

2936.jpg

Do you care to know? Precision is about knowing not only for sure whether they are coming or going to school but also why they are dandia-ring!
 
What is inhibiting Africa south of the Sahara from developing? The answer is simple!

So the problem is not only not being precise but also lack of ingenuity, self confidence, motivation, and much more.

....as an example, when you have abundant ingenuity accounted by magical use of Albino body parts among other equally ingenious tools .... the pursuit of development is not hindered by lack of confidence etc...its just the opposite. When you have a bunch of people believing in toboa tobo ingenuity to address their problems, the result is the kind of AFRICA existing today. Example are just infinitely many. Eradicate IGNORANCE, DISEASE and EXPLOITATION in Africa and you have something else! We know that
 
Hivi mmewahi kujiuliza kwa nini ile ndege inaitwa Precision? Now imagine the country is an aeroplane. Would you trust an imprecise pilot to fly it?
 
Bluray said:
Sikusema kwamba the second law inaendana na uncertainty principle, nimesema the second law inakataza 100% efficiency.
Hapo chini ni bandiko lako na nilidhani umeconnect issue hizo mbili kutokana na kiunganishi "tena"
Bluray said:
Hata wanafizikia wana "The Second Law of Thermodynamics" inayokataza efficiency ya 100%

Tena wana Heinzerbergs Uncertainty Principle inayosema kwamba huwezi kujua position na momentum ya particles 100% kwa wakati mmoja.

Bluray said:
Halafu unaweza kuonyesha uhusiano wa The third law na Heisenberg's principle?

Precision in comprehension please.
I will try,
Uncertainity principle ya Heisenberg inatumika in different was kama ku estimate momentum,energy na time in relation to each other,kwamba huwezi kujuwa speed na location ya object all at once,3rd law of thermodynamics inasema it is impossible to reach the absolute zero of temperature in a finite number of steps na the reason ni uncertainity principle kwasababu absolute temperature ni temperature of zero motion,kwasababu in a absolute zero of temperature which means zero motion,the tunaweza kuona microscopic objects exactly where they at and how fast they're moving,That violates the principle of uncertainity,nimekuelezea kwenye posting iliyopita ujaelewa nini?na nimekupa mfano wa microscopic objects,kama vile electrons,wakati wa kuimeasure object kama electron ambayo huwa inabebwa na mawimbi ya mwanga na hivyo kuescape from the atom,yani process ya kujaribu kuimesure electron tayari inakuwa umesha ioff set kwasababu mwanga una ambao unasafiri kama mawimbi,mawimbi yake yana nguvu za kutosha kuzisukuma objects kama electron,na pia intesity yake inaitupa nje ya atom na wakati unaiobserve inakuwa tayari nje ya atom,just like quantum mechanics says they should
Kwenye objects ambazo ni macroscopic light haina affect kwasababu ni swa na mbu kujaribu kumsukuma tembo.
 
Hili sio suala la kushawishiwa na kushawishika. Ni suala la kuthibitishiwa na kukubali thibitisho. You can't argue against a precise thing. It is precise.

Hujanithibitishia kuwa lugha ya kisheria ni sahihi.
 
Do you care to know? Precision is about knowing not only for sure whether they are coming or going to school but also why they are dandia-ring!

Knowing why they are dandiaring is easy! It's because they don't have school buses or other personal transportation to ferry them to and from school.
 
Knowing why they are dandiaring is easy! It's because they don't have school buses or other personal transportation to ferry them to and from school.

How do you know?
 
Back
Top Bottom