BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya

Inasemekana posho zimepunguzwa ili kubalance mahesabu yapendeze kwenye vitabu, so what you pay is what you get MSISHANGAZWE KUONA WACHEZAJI WANACHEZA KAMA WAMELAZIMISHWA. KIFAZA ZAIDI YAANI NA HAKUNA WA KUWAFANYA KITU KUDAADEEEEEKI

*Ieleweke jamani watu hawalalamiki draw au kufungwa wnalalamika team imechezaje ? kwa nini wachezaji wanacheza kama wanalazimishwa?
simba aliwahi mpiga 3-0 kaizer chiefs akatolewa kwa aggregate 4-3 lakini watu walishangilia hadi kusukuma bus sababu waliona juhudi

Jana utopolo kabebwa na bahasha lakini ulikuwa unaona juhudi za wachezaji wao kutafuta magoli walikuwa kama mbogo waliojeruhiwa

SIMBA KWA SASA KUNA MAFAZA KWELI MAMAEEEEE, KHA YAANI HADI KI MWENDA NI KIFAZA KIPYA
 
..........
as much as it hurts dada yangu huo ndiyo ukweli, lower your expectations, malawi tunaenda kubondwa kama ngoma, wachezaji kama kikundi cha walevi, hakuna morale kabisa wakowako tu

Last week kule sudan walikuwa wanakaba kwa pamoja, wanakimbia mbele na nyuma, 7 days later tumejionea wenyewe HORROR SHOW to hell with them, sitaki kuumiza moyo wangu na hawa NDALAKYUYA TENA

ikitokea wakafanya vizuri nitafurahi wakibamizwa sitashangaa sana maana sitarajii lolote la maana kwao tena
 
Hakuna mgogoro mmbaya sana katika taasisi kama low pay, lack of motivation.

Nilibahatika kuistudy Apple Company kwanini wapo juu sana kimaendeleo tangu miaka ya 70's nikagundua kuna culture pana sana ya motivation na high salary.

Yote haya yalifanywa na kiongozi bora kabsaa kuwahi kutokea katika kampuni hii ya Apple. Steve Job ni umuumini mkubwa sana wa haya mambo ili kuwafanya watu wawe pamoja.

So Moo kama anajidanganya atatoboa kwa tabia hizi za chini ya kapeti basi anajimaliza mwenyewe
 
Hakuna mgogoro mmbaya sana katika taasisi kama low pay, lack of motivation.

Nilibahatika kuistudy Apple Company kwanini wapo juu sana kimaendeleo tangu miaka ya 70's nikagundua kuna culture pana sana ya motivation na high salary...
Wee Ni muongo Sana na hata pmj na kubold maneno Bado wee Ni mtupu na hujui kuwa Mpira unaweza kuwa na pesa kila kitu Ila usipige hatua cheki Newcastle Ni club tajiri kwa sas england ingawa Haina mataji na makombe makubw kabatini

Yanga na Simba ikifungwa Ni xambi na usaliti umefanywa na wachezaji kutojituma jmn mtu katoka kusawazisha ndio mseme hawana spiriti

Ndio maana mm huwa siwasikilizi wachambuzi wetu Ni wapuuz na wajngaaa mno namuelewa tu amri kiemba wengine hon kwa kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wee Ni muongo Sana na hata pmj na kubold maneno Bado wee Ni mtupu na hujui kuwa Mpira unaweza kuwa na pesa kila kitu Ila usipige hatua cheki Newcastle Ni club tajiri kwa sas england ingawa Haina mataji na makombe makubw kabatini...
shida ni nini sasa genius? jana simba walikuwa wanacheza formula gani? kwanini wachezaji hawataki kukaba?
 
Back
Top Bottom