BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

Sasa hivi Makolo mmesajiri kocha wa ndondo cup Mgunda atawafundisha uchawi tu muwe kama coastal mtaanza kuwanga mchana kweupe...
Bado Azam na Singida wanawasubiri kuwakojolea nje ndani
 
Wee Ni muongo Sana na hata pmj na kubold maneno Bado wee Ni mtupu na hujui kuwa Mpira unaweza kuwa na pesa kila kitu Ila usipige hatua cheki Newcastle Ni club tajiri kwa sas england ingawa Haina mataji na makombe makubw kabatini

Yanga na Simba ikifungwa Ni xambi na usaliti umefanywa na wachezaji kutojituma jmn mtu katoka kusawazisha ndio mseme hawana spiriti

Ndio maana mm huwa siwasikilizi wachambuzi wetu Ni wapuuz na wajngaaa mno namuelewa tu amri kiemba wengine hon kwa kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huo ni mtazamo wako. Kumbuka haya tunayoyajadili ni tetesi na kwasababu hoja imejikita zaidi ktk rewards system nikaona ni heri tuichambue kwa kuegemea upande wa athari.

Wewe unakuja na akili za kuvukia barabara unaniquote kirahisi rahisi sana kuliko kufikiri.

Mfano wako kwa New Castle hauno ratio na huku kwetu. Matatizo haya ya mishahara na motisha huko Ulaya hayapo . Ndiyo maana wachezaji wa huko kila mmoja anaitwa professiona player. Ubora wa New Castle kwa sasa pesa imechangia pakubwa. Kajifunze, bado una muda mwingi sana kijana kuliko kuchukia watu.
 
Eeh sasa hapo kweli unaenjoy kazi.
Milion 70...hatari hiyo
halafu itihad ni team isiyo na pressure ya CAF sanasana ataambiwa hakikisha haishuki daraja ni kama ihefu fulani, presha ya simba kufika nusu fainali kaona bora avunje mkataba akimbie na watu wake na waarabu wamemlipia hela ya kuvunja mkataba
 
Dah kwa kweli amefanya la maana. Pressure ya nusu finali alafu u alipwa vijisenti huo ni upuuzi.
 
Kwa hiyo effect ya low pay imeanza alivyoondoka kocha?
Kama hujui uendako huwezi kupotea" wao watatafuta mchawi , tu, na leo kama angekuwepo yule mzungu wao kocha, wangeweza kumumzomea vile?
 
Kama hujui uendako huwezi kupotea" wao watatafuta mchawi , tu, na leo kama angekuwepo yule mzungu wao kocha, wangeweza kumumzomea vile?
one thing for sure angekuwepo mzungu wachezaji wangekuwa wanakimbia uwanjani na kukaba hilo nina uhakika, matola wamemzoea sana na kuna muda alichanganyikiwa anataka kumtoa hadi sakho kina erasto nyoni wanamzuia
Bila uongozi kuingilia kati na kupiga mkwara hata huyu Mgunda watamdharau tu wanacheza kwa mood yao ilivyo siku hiyo
 
Hizi lawama anazopewa leo Matola ni kumuonea tu!!ana siku ngapi toka awe msimamizi wa timu?!!mwaka huu kubalini tu kuwa mnajenga timu, kama yanga walivyokuwa kama misimu miwili, 3 nyuma.kwa timu hii hata robo fainali mwaka huu hamtafika.
Kuhusu makocha wazawa, kufundisha hizi timu kubwa kwa sasa ni ngumu, kwanza hata uongozi hawawezi wakamtimizia mahitaji ya vifaa vya mazoezi anavyotaka, ila akiwa mzungu haina shida.
 
matola anahitaji siku ngapi aijue simba au kikosi hiki?tunatarajia yeye ndiye awe mshauri mkuu wa Mgunda sasa kama nnaye anahitaji wiki kadhaa kuwajua wachezaji basi kazi ipo
 
matola anahitaji siku ngapi aijue simba au kikosi hiki?tunatarajia yeye ndiye awe mshauri mkuu wa Mgunda sasa kama nnaye anahitaji wiki kadhaa kuwajua wachezaji basi kazi ipo
Hahaaaa!!!nadhani pale huwa yupo yupo tu kama care taker, wakati wa majanga!!!akipatikana mzungu, basi huwa yupo yupo tu.
 
BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya

Inasemekana posho zimepunguzwa ili kubalance mahesabu yapendeze kwenye vitabu, so what you pay is what you get MSISHANGAZWE KUONA WACHEZAJI WANACHEZA KAMA WAMELAZIMISHWA. KIFAZA ZAIDI YAANI NA HAKUNA WA KUWAFANYA KITU KUDAADEEEEEKI

*Ieleweke jamani watu hawalalamiki draw au kufungwa wnalalamika team imechezaje ? kwa nini wachezaji wanacheza kama wanalazimishwa?
simba aliwahi mpiga 3-0 kaizer chiefs akatolewa kwa aggregate 4-3 lakini watu walishangilia hadi kusukuma bus sababu waliona juhudi

Jana utopolo kabebwa na bahasha lakini ulikuwa unaona juhudi za wachezaji wao kutafuta magoli walikuwa kama mbogo waliojeruhiwa

SIMBA KWA SASA KUNA MAFAZA KWELI MAMAEEEEE, KHA YAANI HADI KI MWENDA NI KIFAZA KIPYA
Umelazimishwa kuwa shabiki wa simba? Kama una hela si uwaongezee hao wachezaji hizo posho na mishahara iliyo punguzwa ili wafanye vizuri zaidi!

Acha kuchosha watu hapa.
 
Umelazimishwa kuwa shabiki wa simba? Kama una hela si uwaongezee hao wachezaji hizo posho na mishahara iliyo punguzwa ili wafanye vizuri zaidi!

Acha kuchosha watu hapa.
TOPOLO ETI LINAJIFANYA JITU LA BUSARA, MACHOZI YA MAMBA AKIMUHURUMIA VICTIM WAKE,KWENDAAAAA
 
Umelazimishwa kuwa shabiki wa simba? Kama una hela si uwaongezee hao wachezaji hizo posho na mishahara iliyo punguzwa ili wafanye vizuri zaidi!

Acha kuchosha watu hapa.
hahaha kwa lugha nyingine topolo unatuambia tukaushe siyo hata kama kuna mgomo wa wachezaji tulioshushudia jana, hopeless twat
 
TOPOLO ETI LINAJIFANYA JITU LA BUSARA, MACHOZI YA MAMBA AKIMUHURUMIA VICTIM WAKE,KWENDAAAAA
Nyinyi ndiyo wale mashabiki ambao Ismail Aden Rage aliwaita mbumbumbu! Hata hamueleweki mnataka nini! Kila siku ni kubweka bweka tu.
 
Nyinyi ndiyo wale mashabiki ambao Ismail Aden Rage aliwaita mbumbumbu! Hata hamueleweki mnataka nini! Kila siku ni kubweka bweka tu.
Tunataka wachezaji wapewe posho zao kama zamani,tunataka joash onyango amaliziwe hela yake ya usajili arudi uwanjani, tunataka wachezaji wajitume hata kama team ikifungwa au iki draw uone kweli kulikuwa na watu wanatafuta ushindi ila wakazidiwa
UNA JINGINE BWANA UTOPOLO? MAANA HAPO UNACHEKELEA KIMOYOMOYO PIRA MAGIMBI LA JANA UNATAMANI LIENDELEE MILELE SASA WAKITOKEA WAFIA TEAM KAMA SISI KUKATAA UJINGA KAMA HUO UTOPWINYOZ MNAKASIRIKA
 
Ogopa sana uko vitani alafu askar wako morali ipo chini
 
Ogopa sana uko vitani alafu askar wako morali ipo chini
ndicho tunacholalamika hicho, Joash onyango yeye kawa muwazi anataka amaliziwe chake mapema maana hajamaliziwa hela ya usajili, SASA NI WANGAPI WENYE ISSUE KAMA YA ONYANGO WAMEKAA KIMYA WANAMALIZIA HASIRA ZAO UWANJANI KWA KUCHEZA HOVYOHOVYO?
Tukiyahoji hayo utasikia acha ushabiki maandazi
 
Hata Onyango akirudi bado Simba tatizo ni kubwa!
Mwisho wa Msimu uliopita Joash alikua uchochoro tu.
Team kama Vipers unaiona discipline ya ukabaji sisi sijui scouting team wanafanyaga kazi gani.
 
Back
Top Bottom