Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Huo ni mtazamo wako. Kumbuka haya tunayoyajadili ni tetesi na kwasababu hoja imejikita zaidi ktk rewards system nikaona ni heri tuichambue kwa kuegemea upande wa athari.Wee Ni muongo Sana na hata pmj na kubold maneno Bado wee Ni mtupu na hujui kuwa Mpira unaweza kuwa na pesa kila kitu Ila usipige hatua cheki Newcastle Ni club tajiri kwa sas england ingawa Haina mataji na makombe makubw kabatini
Yanga na Simba ikifungwa Ni xambi na usaliti umefanywa na wachezaji kutojituma jmn mtu katoka kusawazisha ndio mseme hawana spiriti
Ndio maana mm huwa siwasikilizi wachambuzi wetu Ni wapuuz na wajngaaa mno namuelewa tu amri kiemba wengine hon kwa kweli
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Eeh sasa hapo kweli unaenjoy kazi.kule analipwa usd 30,000 kwa mwezi ni team gani bongo inalipa hivyo?
halafu itihad ni team isiyo na pressure ya CAF sanasana ataambiwa hakikisha haishuki daraja ni kama ihefu fulani, presha ya simba kufika nusu fainali kaona bora avunje mkataba akimbie na watu wake na waarabu wamemlipia hela ya kuvunja mkatabaEeh sasa hapo kweli unaenjoy kazi.
Milion 70...hatari hiyo
Dah kwa kweli amefanya la maana. Pressure ya nusu finali alafu u alipwa vijisenti huo ni upuuzi.halafu itihad ni team isiyo na pressure ya CAF sanasana ataambiwa hakikisha haishuki daraja ni kama ihefu fulani, presha ya simba kufika nusu fainali kaona bora avunje mkataba akimbie na watu wake na waarabu wamemlipia hela ya kuvunja mkataba
Kama hujui uendako huwezi kupotea" wao watatafuta mchawi , tu, na leo kama angekuwepo yule mzungu wao kocha, wangeweza kumumzomea vile?Kwa hiyo effect ya low pay imeanza alivyoondoka kocha?
one thing for sure angekuwepo mzungu wachezaji wangekuwa wanakimbia uwanjani na kukaba hilo nina uhakika, matola wamemzoea sana na kuna muda alichanganyikiwa anataka kumtoa hadi sakho kina erasto nyoni wanamzuiaKama hujui uendako huwezi kupotea" wao watatafuta mchawi , tu, na leo kama angekuwepo yule mzungu wao kocha, wangeweza kumumzomea vile?
Hizi lawama anazopewa leo Matola ni kumuonea tu!!ana siku ngapi toka awe msimamizi wa timu?!!mwaka huu kubalini tu kuwa mnajenga timu, kama yanga walivyokuwa kama misimu miwili, 3 nyuma.kwa timu hii hata robo fainali mwaka huu hamtafika.one thing for sure angekuwepo mzungu wachezaji wangekuwa wanakimbia uwanjani na kukaba hilo nina uhakika, matola wamemzoea sana na kuna muda alichanganyikiwa anataka kumtoa hadi sakho kina erasto nyoni wanamzuia
Bila uongozi kuingilia kati na kupiga mkwara hata huyu Mgunda watamdharau tu wanacheza kwa mood yao ilivyo siku hiyo
matola anahitaji siku ngapi aijue simba au kikosi hiki?tunatarajia yeye ndiye awe mshauri mkuu wa Mgunda sasa kama nnaye anahitaji wiki kadhaa kuwajua wachezaji basi kazi ipoHizi lawama anazopewa leo Matola ni kumuonea tu!!ana siku ngapi toka awe msimamizi wa timu?!!mwaka huu kubalini tu kuwa mnajenga timu, kama yanga walivyokuwa kama misimu miwili, 3 nyuma.kwa timu hii hata robo fainali mwaka huu hamtafika.
Kuhusu makocha wazawa, kufundisha hizi timu kubwa kwa sasa ni ngumu, kwanza hata uongozi hawawezi wakamtimizia mahitaji ya vifaa vya mazoezi anavyotaka, ila akiwa mzungu haina shida.
Hahaaaa!!!nadhani pale huwa yupo yupo tu kama care taker, wakati wa majanga!!!akipatikana mzungu, basi huwa yupo yupo tu.matola anahitaji siku ngapi aijue simba au kikosi hiki?tunatarajia yeye ndiye awe mshauri mkuu wa Mgunda sasa kama nnaye anahitaji wiki kadhaa kuwajua wachezaji basi kazi ipo
Vipers na Rivers zilimfanyejeWangekuwa wanamlipa good asingesepa.
Nabi anamechi 41 hajafungwa hivi unafikiri timu nyengne hazitamani huduma yake?
Umelazimishwa kuwa shabiki wa simba? Kama una hela si uwaongezee hao wachezaji hizo posho na mishahara iliyo punguzwa ili wafanye vizuri zaidi!BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya
Inasemekana posho zimepunguzwa ili kubalance mahesabu yapendeze kwenye vitabu, so what you pay is what you get MSISHANGAZWE KUONA WACHEZAJI WANACHEZA KAMA WAMELAZIMISHWA. KIFAZA ZAIDI YAANI NA HAKUNA WA KUWAFANYA KITU KUDAADEEEEEKI
*Ieleweke jamani watu hawalalamiki draw au kufungwa wnalalamika team imechezaje ? kwa nini wachezaji wanacheza kama wanalazimishwa?
simba aliwahi mpiga 3-0 kaizer chiefs akatolewa kwa aggregate 4-3 lakini watu walishangilia hadi kusukuma bus sababu waliona juhudi
Jana utopolo kabebwa na bahasha lakini ulikuwa unaona juhudi za wachezaji wao kutafuta magoli walikuwa kama mbogo waliojeruhiwa
SIMBA KWA SASA KUNA MAFAZA KWELI MAMAEEEEE, KHA YAANI HADI KI MWENDA NI KIFAZA KIPYA
TOPOLO ETI LINAJIFANYA JITU LA BUSARA, MACHOZI YA MAMBA AKIMUHURUMIA VICTIM WAKE,KWENDAAAAAUmelazimishwa kuwa shabiki wa simba? Kama una hela si uwaongezee hao wachezaji hizo posho na mishahara iliyo punguzwa ili wafanye vizuri zaidi!
Acha kuchosha watu hapa.
hahaha kwa lugha nyingine topolo unatuambia tukaushe siyo hata kama kuna mgomo wa wachezaji tulioshushudia jana, hopeless twatUmelazimishwa kuwa shabiki wa simba? Kama una hela si uwaongezee hao wachezaji hizo posho na mishahara iliyo punguzwa ili wafanye vizuri zaidi!
Acha kuchosha watu hapa.
Nyinyi ndiyo wale mashabiki ambao Ismail Aden Rage aliwaita mbumbumbu! Hata hamueleweki mnataka nini! Kila siku ni kubweka bweka tu.TOPOLO ETI LINAJIFANYA JITU LA BUSARA, MACHOZI YA MAMBA AKIMUHURUMIA VICTIM WAKE,KWENDAAAAA
Tunataka wachezaji wapewe posho zao kama zamani,tunataka joash onyango amaliziwe hela yake ya usajili arudi uwanjani, tunataka wachezaji wajitume hata kama team ikifungwa au iki draw uone kweli kulikuwa na watu wanatafuta ushindi ila wakazidiwaNyinyi ndiyo wale mashabiki ambao Ismail Aden Rage aliwaita mbumbumbu! Hata hamueleweki mnataka nini! Kila siku ni kubweka bweka tu.
ndicho tunacholalamika hicho, Joash onyango yeye kawa muwazi anataka amaliziwe chake mapema maana hajamaliziwa hela ya usajili, SASA NI WANGAPI WENYE ISSUE KAMA YA ONYANGO WAMEKAA KIMYA WANAMALIZIA HASIRA ZAO UWANJANI KWA KUCHEZA HOVYOHOVYO?Ogopa sana uko vitani alafu askar wako morali ipo chini
Hata Onyango akirudi bado Simba tatizo ni kubwa!ndicho tunacholalamika hicho, Joash onyango yeye kawa muwazi anataka amaliziwe chake mapema maana hajamaliziwa hela ya usajili, SASA NI WANGAPI WENYE ISSUE KAMA YA ONYANGO WAMEKAA KIMYA WANAMALIZIA HASIRA ZAO UWANJANI KWA KUCHEZA HOVYOHOVYO?
Tukiyahoji hayo utasikia acha ushabiki maandazi