Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
Zamani kwa ruti ya Dar Arusha ilitawaliwa na Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro chini ya Mkurugenzi Sawaya.
Siku hizi naona makampuni ni mengi na Kilimanjaro Bus ni kama utawala wake umefika mwisho.
Kampuni kama BM anatoa mabasi mengi kwa siku, naona utawala wa Mzee Sawaya unaenda mwisho huko Dar Arusha.