Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
Bus za shabiby dar to dom .route hizi na zingine ndo wana andikiwa V.V I.P π yule mzee ni konyo sanaSiku hizi Kuna ruti zina mabasi kibao tena yapo classic tu.
Abood na shabiby wanacheka hii commentHiyo ndio ruti yenye mabus mengi Tanzania na ndio ruti yenye mabus mazuri zaidi Tz.
Shabiby naona hata ruti za kwenda Tanga soon tu anaingia, Abood nasikia gari huko Tanga anajaza mno kama ana dawa vile.Bus za shabiby dar to dom .route hizi na zingine ndo wana andikiwa V.V I.P π yule mzee ni konyo sana
N A K A Z I AHiyo ndio ruti yenye mabus mengi Tanzania na ndio ruti yenye mabus mazuri zaidi Tz.
ExactlyHiyo ndio ruti yenye mabus mengi Tanzania na ndio ruti yenye mabus mazuri zaidi Tz.
ππππBus za shabiby dar to dom .route hizi na zingine ndo wana andikiwa V.V I.P π yule mzee ni konyo sana
Kwani hao shabiby na Abood hawana ruti za Arusha?? Wapo tena kule ni wachumba tu πAbood na shabiby wanacheka hii comment
hivi huyu BM ni Benjamin Mkapa, Benard Membe au Basili MrambaZamani kwa ruti ya Dar Arusha ilitawaliwa na Kampuni ya Mabasi ya Kilimanjaro chini ya Mkurugenzi Sawaya.
Siku hizi naona makampuni ni mengi na Kilimanjaro Bus ni kama utawala wake umefika mwisho.
Kampuni kama BM anatoa mabasi mengi kwa siku, naona utawala wa Mzee Sawaya unaenda mwisho huko Dar Arusha.View attachment 3311068
Acha uongo broAfadhali
ukifika hotelini kwao Korogwe una dk 10 kujisaidia ,kupanga foleni ya chakula ambacho ni ghali na huwezi kukimaliza Kwa dk 3 na hakuna kuingia nacho kwenye bus
mwishowe wanakiuza tena
ABC upper class akiingia ruti yoyote huwa lazima ajaze gari bila wapiga debe akiingia hapo Tanga Abood lazima apoteze hao abiriaShabiby naona hata ruti za kwenda Tanga soon tu anaingia, Abood nasikia gari huko Tanga anajaza mno kama ana dawa vile.
huyo anaitwa benson masawe B.Mhivi huyu BM ni Benjamin Mkapa, Benard Membe au Basili Mramba
Kama akija vizuri atapata sana tu abiria, watu wanataka gari nzuri siku hizi na kampuni zimeamua.ABC upper class akiingia ruti yoyote huwa lazima ajaze gari bila wapiga debe akiingia hapo Tanga Abood lazima apoteze hao abiria