BMT, Msajili wa Vyama vya Michezo Wamkingia Kifua John Bayo

BMT, Msajili wa Vyama vya Michezo Wamkingia Kifua John Bayo

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Kaimu Msajili (Abeli Odena) naye ni ndg yake John Bayo. Je haki ya kumchukulia hatua Bayo itatendeka? Wote wenye mamlaka ya kimaamuzi ni ndg zake akiwemo Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo na Kaimu Katibu Mkuu wa BMT Bi Neema Msitha.

Wote hao wanafuata maelekezo ya ndg yao (Filbert Bayi) wanaemheshimu kuliko Waziri mwenye dhamana ya Michezo ambaye ana mamlaka ya kutengua teuzi zao.

Screenshot_20210530-115319.jpg
Screenshot_20210530-115345.jpg
 
Back
Top Bottom