Torque vs HP
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,769
- 5,084
Aiseee safi sana mkuu,nimekupata vyema.Me nna E90 tamu ila plastic sana. Nahisi E46 ni better in terms of durability.
E90 ukitaka kuchukua ni 6 cylinders tu N5x engine. Achana na 4. 6 cylinders ni zile zenye cc kuanzia 2500 kwenda juu.
5 series sijaimiliki ila vitu vingi zitafanana tu.
Nimejitokeza ila siingilii hii mada...Nawaachieni BMW Fan BoyzThread mzuri sana hii, ila itaharibika pale tu member wa kuitwa Extrovert akijitokeza.
Zamani tunasikia pia ukimiliki Range Rover ukienda she'll wao ni kujaza tank zote.kumbe siku hizi nmeona mpk range rover zenye cc 1990.Kweli mkuu gari nzuri shida ilikua akili zetu zimeshakariri BMW kuimiliki inahitaji hela nyingi sana
Ni kweli. Ila kwangu mimi iko chini sana. Mm ni mpenz wa magari yenye ground clearance kubwa. Yaan yapo juu.Shida ipo pale mtu akiona brand tuu BMW hana haja ya kuuliza anajipa jibu kua inakula sana mafuta na spare ni ghali pia adimu. Shidi ipo kwetu kukariri kitu miaka na miaka
Magari mengi sasa wanauza tech sio ubora wa gari. Ndo maana kila toleo wanabadili baada ya kuona gari ina matatizoYeah F series nimeoma improvement. Wameacha Electric Pump wameenda zile za kawaida Mechanical. Nimebadirisha pump mbili aisee each M1 na ushee. Sina hamu.
Hahahah kulitokea nini mkuu?Hahahaha mkuu umenifanya nikumbuke jana usiku mida ya saa 1 hivi
Ili neno. Ukiangalia magari ya 2015 kuja juu ni mbwembwe kama autopilot, drive assistant, ndani mascreen kila sehemu, etc etc.Magari mengi sasa wanauza tech sio ubora wa gari. Ndo maana kila toleo wanabadili baada ya kuona gari ina matatizo
Infotainment ndio zimejazwa.Ili neno. Ukiangalia magari ya 2015 kuja juu ni mbwembwe kama autopilot, drive assistant, ndani mascreen kila sehemu, etc etc.
Mkuu usiwaache waangamie, mjapani katutengenezea Passo, Vitz, IST, Raum, Runx, Spacio, Opa, Wish, Porte zote hizo hawazioni halafu wanarukia kwenye hizo mashine za kijerumani kuna jamaa iliwahi kumchanganya kichwa kila akitoka gereji alikuwa mkali anafoka anaongea hata lugha haieleweki, nahisi alifika hatua alikuwa anaongea kijerumani, sasa hivi ametulia na Rav 4 Kili Time hana shida na mtuπ€£Nimejitokeza ila siingilii hii mada...Nawaachieni BMW Fan Boyz
Hahahahah hao watu nawaitaga case study! Katika maisha jiadhari sana na kuwa "shamba darasa" au "mfano kwa wengine" hiki cheo huwa kiko kwa watu maalum katika jamii ila usiombe ukawa mfano. πππMkuu usiwaache waangamie, mjapani katutengenezea Passo, Vitz, IST, Raum, Runx, Spacio, Opa, Wish, Porte zote hizo hawazioni halafu wanarukia kwenye hizo mashine za kijerumani kuna jamaa iliwahi kumchanganya kichwa kila akitoka gereji alikuwa mkali anafoka anaongea hata lugha haieleweki, nahisi alifika hatua alikuwa anaongea kijerumani, sasa hivi ametulia na Rav 4 Kili Time hana shida na mtuπ€£
Naona huyu mwana hapo chini kaona ajilipue tu.,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hahahahah hao watu nawaitaga case study! Katika maisha jiadhari sana na kuwa "shamba darasa" au "mfano kwa wengine" hiki cheo huwa kiko kwa watu maalum katika jamii ila usiombe ukawa mfano. [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] duuh kitu shamba darsa..Hahahahah hao watu nawaitaga case study! Katika maisha jiadhari sana na kuwa "shamba darasa" au "mfano kwa wengine" hiki cheo huwa kiko kwa watu maalum katika jamii ila usiombe ukawa mfano. [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahah haitaishia kunusa mafuta itanusa mpaka wallet yakoNaona huyu mwana hapo chini kaona ajilipue tu.,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1682590
ππππ atakula alikopeleka mboga.Hahahah haitaishia kunusa mafuta itanusa mpaka wallet yako
Mmeshaambiwa kama pesa yako ni ya manati achana na machine za kinazi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] atakula alikopeleka mboga.
[emoji23][emoji23][emoji23]Thread mzuri sana hii, ila itaharibika pale tu member wa kuitwa Extrovert akijitokeza.