BMW series 1

BMW series 1

Me nna E90 tamu ila plastic sana. Nahisi E46 ni better in terms of durability.

E90 ukitaka kuchukua ni 6 cylinders tu N5x engine. Achana na 4. 6 cylinders ni zile zenye cc kuanzia 2500 kwenda juu.

5 series sijaimiliki ila vitu vingi zitafanana tu.
Aiseee safi sana mkuu,nimekupata vyema.
 
Kweli mkuu gari nzuri shida ilikua akili zetu zimeshakariri BMW kuimiliki inahitaji hela nyingi sana
Zamani tunasikia pia ukimiliki Range Rover ukienda she'll wao ni kujaza tank zote.kumbe siku hizi nmeona mpk range rover zenye cc 1990.
Utagundua kua kwa Sasa gharama ni kuja kuitunza hiyo gari baada ya kuinunua.
 
Shida ipo pale mtu akiona brand tuu BMW hana haja ya kuuliza anajipa jibu kua inakula sana mafuta na spare ni ghali pia adimu. Shidi ipo kwetu kukariri kitu miaka na miaka
Ni kweli. Ila kwangu mimi iko chini sana. Mm ni mpenz wa magari yenye ground clearance kubwa. Yaan yapo juu.
Series 1 ni nzuri.. ila kwenye bamps kubwa sasa
 
Nimejitokeza ila siingilii hii mada...Nawaachieni BMW Fan Boyz
Mkuu usiwaache waangamie, mjapani katutengenezea Passo, Vitz, IST, Raum, Runx, Spacio, Opa, Wish, Porte zote hizo hawazioni halafu wanarukia kwenye hizo mashine za kijerumani kuna jamaa iliwahi kumchanganya kichwa kila akitoka gereji alikuwa mkali anafoka anaongea hata lugha haieleweki, nahisi alifika hatua alikuwa anaongea kijerumani, sasa hivi ametulia na Rav 4 Kili Time hana shida na mtu🤣
 
Hahahahah hao watu nawaitaga case study! Katika maisha jiadhari sana na kuwa "shamba darasa" au "mfano kwa wengine" hiki cheo huwa kiko kwa watu maalum katika jamii ila usiombe ukawa mfano. 😁😁😁
 
Hahahahah hao watu nawaitaga case study! Katika maisha jiadhari sana na kuwa "shamba darasa" au "mfano kwa wengine" hiki cheo huwa kiko kwa watu maalum katika jamii ila usiombe ukawa mfano. [emoji16][emoji16][emoji16]
Naona huyu mwana hapo chini kaona ajilipue tu.,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Screenshot_2021-01-21-15-24-25-1.jpg
 
Hahahahah hao watu nawaitaga case study! Katika maisha jiadhari sana na kuwa "shamba darasa" au "mfano kwa wengine" hiki cheo huwa kiko kwa watu maalum katika jamii ila usiombe ukawa mfano. [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] duuh kitu shamba darsa..
 
Hizi nunua mpya sio used kwani ni msiba,sio reliable kabisa .Utapata msiba wa mechanical parts,leaks za kufa mtu pamoja na electric (sensors) kama zote. Dashboard kuwaka kama Xmas tree usishangae,taa ya check engine kuwa on muda wote ni jambo la kawaida . German cars at least VW zina afadhali kwenye uimara.
 
Back
Top Bottom