BMW series 1

[emoji122] [emoji122]
 
Uzuri kuna manuals zake zote, owner's, service manual, repair and maintanance manual, yaani ni full documentation na mambo yanasonga. 2 yrs nimekuwa nikifanya hii.
 
Ni gari bora sana.Au unataka tukuchombeze kuwa spea zake siyo ghali sana na zinapatikana kirahisi na gari hii haiitaji uangalizi wa karibu?
 
Ni gari bora sana.Au unataka tukuchombeze kuwa spea zake siyo ghali sana na zinapatikana kirahisi na gari hii haiitaji uangalizi wa karibu?
Kadiri utakavyoona utakuwa umenisadia navutiwa sana na hii gari
 
X series nazikubali sana
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri
 
Jana nilikuwa na rafiki amenunua BMW 320i wiki iliyopita,nimeitamani Sana hii gari ni very comfortable, powerful, handling na fastest...
Nilikaa kushoto nikiangalia jinsi gari ilivyokuwa inatambaa ingawa ground clearance yake IPO chini Sana Ila Kwenye lami hii ni kama ndege Tu.
speed 260 si mchezo
 
Zamani tunasikia pia ukimiliki Range Rover ukienda she'll wao ni kujaza tank zote.kumbe siku hizi nmeona mpk range rover zenye cc 1990.
Utagundua kua kwa Sasa gharama ni kuja kuitunza hiyo gari baada ya kuinunua.
Hizo ni range rover evogue mkuu ni ndogo rika moja na akina ra4,xtrail nk zile kubwa haziwezi kuwa na displacement ndogo kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…