BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

At least umenipa moyo. Maana juzi kati tu hapa nimeingia BMW. Let me save your comment for future reference.
 
Mwana yeye iliishia Misungwi kama hivi.
 
Aiseeee, Ikianza kumsumbua timing Chain awe na 2M pembeni ya kufix hiyo shida.

Na ndio ugonjwa mkubwa wa hizo gari.
Mkuu hii chuma ina changamoto gani mbona inauzwa mtaani hadi 11M
Nisanue mapema maana naweza ingia tunduni, Extrovert njoo unipange ila usinitisheπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Niuze gx110 35th anniversary nijiweke hapa 😎
 

Attachments

  • Screenshot_20230713-193408_Google.jpg
    122.8 KB · Views: 30
Crown zimegoma kushuka bei kaka,ile comfy si mchezo watu hawajali wese kama ilivyo kwa altezza na brevis,crown wamelifumbia macho
Crown ukiipata ilionyooka ukawa unaibembeleza rodini inakula wese sawa na 1ZZ engine tu 🀣! Ukitaka ikimbie kiwazimu inakimbia kweli hadi sheli 🀣🀣🀣
 
Hao huwa tunawaita shamba darasa 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…