mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Nimeshangaa mnoHizi sasa stori za vijiweni (stori za Jaba). . . .
Sensor gani ya kuuzwa 12M?
Labda Sensor ya Bugatti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa mnoHizi sasa stori za vijiweni (stori za Jaba). . . .
Sensor gani ya kuuzwa 12M?
Labda Sensor ya Bugatti.
Ni kama hapo juu nilimsikia akisema ni diesel!Hajasema kama ni petrol au Diesel
Huyo mbona ilimtoka hela ndogo?Kuna mwana alikuwa na X3 ikagoma kuwaka .Kahama nzima hakuna fundi aliweza kuiwasha jumlisha na Shinyanga .Ikabidi fundi atolewe Dar .Mpaka inawaka M na na uchafu .
Hivi mkuu JituMirabaMinne kwa mtu anayeanza life, unashauri achukue IST au brevis?Hajasema kama ni petrol au Diesel
[emoji23]Huyo mbona ilimtoka hela ndogo?
Mimi kuna RR niliifufua Zanzibar ilikuwa iahapaki Mwaka na nusu haiwaki, Stori yake nilishaileta humu ndani mara kadhaa.
Gari ilikuwa haiwaki, alikuwa mpaka ameshanunulishwa na gearbox nyingine, Hapo sijawagusa mafundi wengine.
View attachment 2686608
Gearbox ya RR L322 ni bei gani?
Kuna mwana alikuwa na X3 ikagoma kuwaka .Kahama nzima hakuna fundi aliweza kuiwasha jumlisha na Shinyanga .Ikabidi fundi atolewe Dar .Mpaka inawaka M na na uchafu .
Mjapani au sio?Mimi mwaka huu baada ya kulitumia gari miaka 7 ndio nikafanya service kubwa iliyonicost kama 140,000 na nilimmind fundi kwamba kanipiga
A4 mwaka gani?Ila aisee spea na service za magari kama huna helaa usijaribu kununua gari za mzunguu walahi... kuna audi niliona inauzwa mil 4 za kitanzania ila shida yake ni CARD ya kucontrol system nzima sijui... kuuliza mtu card inauzwa sh ngapi weeee mil 12+ hapo unaagiza toka nje.
Brevis inashare masta cylinder na LC100 kama sikosei, bei yake siyo mchezo,Hivi mkuu JituMirabaMinne kwa mtu anayeanza life, unashauri achukue IST au brevis?
Chris muhuni. Anawaingiza cha kike sana... range rover kwa Chris unapata kwa 40m tu. InashangazaChris Lukosi anawaaminisha madungu jeshi ndio kila kitu ,sio unamiliki kibakuli.
Labda anamaanisha ECU mkuuA4 mwaka gani?
CARD?????? MMMMH
Design kama IST ni jiwe wanalolikataa waashi hivi[emoji23] sasa nani amiliki kama kila mtu anakwepa kuonekana mnyonge?[emoji23]Brevis inashare masta cylinder na LC100 kama sikosei, bei yake siyo mchezo,
Kwa mtu anayeanza maisha Dah changamoto kuanza na Brevis
Wewe Kiranga huamini kama Mungu yupo ila unamiliki ndinga kali... hii maana yake nini?Nimemiliki BMW X3 na X5. Mpaka sasa nina X5.
Huwa siruhusu gari ifike 100,000 miles, ikianza kukaribia tu nachukua nyingine.
Tatizo mtu ananunua X5 ina 100,000 miles tayari.
Kiufupi sijui ni card gani ila audi ilikuwa kali sana haitembei wala kuwaka...changamoto card ilikua sijui operation yake inatumuia vipi hiyo card ila bila card haiwakiA4 mwaka gani?
CARD?????? MMMMH
sijaju ila nachokumbuka alisema cardLabda anamaanisha ECU mkuu
Kingine mafundi wanakua na njaa kali, wakiona gari ya European, hata kujaza gesi ya AC tuu utapigwa bei kubwa akalipe ada ya watoto
Wanasahau ukitaka starehe kaa mbali na ubahili.Ndio haya mambo mimi nalalamikia wamiliki sometimes,
Okay unabadili knock sensor au ckp sensor engine ni BMW N52. So hapo Intake manfold lazima litoke, Hiyo intake manfold kwa chini ina pipe ya vacuum kama hii[emoji116][emoji116][emoji116]ila yenyewe ni ndefu kidogo
View attachment 2686617
Joto la japo katikati mixer hilo intake halijafunguliwa muda mrefu, chance za kuikata hiyo pipe ni 99%.
Hiyo pipe hapa mjini bila 120k mpaka 150k hapa mjini hujanunua.
Bosi anataka kazi hiyo akulipe 10k unazalisha tatizo la 150k hiyo ni biashara kichaa. Tena wenye gari ambao wanabana kulipa hela, ukivunja kama hivyo atakung'ang'ania hutoamini macho yako.
Hapo sijagusa vitu complicated kama kubadili thermostat au coolant pump
Ndio maana na mimi nimetamani kuijua hiyo card, its too expensivesijaju ila nachokumbuka alisema card