BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

shida ni kwamba hana tools sahihi ( au anazo ila hajui kuzitumia), so hajui shida iko wapi
anaishia ku trial&error
Tools kuu zipo mkuu! Kubwa mbili ni scan tool na OBD 1

Hizi tools ukisoma engineering ya magari unaelekezwa kuzitumia na kusoma codes, hata hivyo, si ngumu kiasi cha wao kushindwa kuzitumia.
 
Kutunza gari ni kazi na wengi hawawezi.

Kuna mtu alikuja na e90 ikiwa mpya mwaka jana,

Mwezi uliopita nimeenda kuiona nikabaki nimeshika mikono kichwani.
Unajua ukiwaambia vijana kwamba kumiliki gari kunahitaji fedha nyingi wanakuona kama wewe unawazibia. Wakipita kwenye mitandao na kuona magari yanauzwa kwa bei fulani anaona ni vyema akakope bank anunue huo mgari ili apate kutamba nao mitaani. Hana uzoefu wa bajeti ya mafuta wala gharama za matengenezo. Na wakati huo hana umiliki wa kiwanja au hata kujenga chumba kimoja cha kuishi.

Vipaumbele vya vijana vimekaa ki reverse reverse.
 
Kuna muda unaacha gari nyumbani sio kwamba unapendaa[emoji28][emoji28][emoji28] kutembea na gari unachungulia mshalee na foleni za dar ni undezii.. kumaintain gari sio kazi ndogoo ukinunua kwa ajili ya kwenda nalo kazini labda kama karibu ila more than 20km bhasi andaa si chini ya 10k ya mafuta daily.
 
Unajua ukiwaambia vijana kwamba kumiliki gari kunahitaji fedha nyingi wanakuona kama wewe unawazibia. Wakipita kwenye mitandao na kuona magari yanauzwa kwa bei fulani anaona ni vyema akakope bank anunue huo mgari ili apate kutamba nao mitaani. Hana uzoefu wa bajeti ya mafuta wala gharama za matengenezo. Na wakati huo hana umiliki wa kiwanja au hata kujenga chumba kimoja cha kuishi.

Vipaumbele vya vijana vimekaa ki reverse reverse.
Kuna cases kwa kijana kumiliki gari ambazo mimi naweza kuziona za muhimu kuliko vitu vingine,

Kama mtu anafanya biashara hata kama ni start up gari inamuongezea thamani,

Kama ushaenda kwenye maofisi makubwa kwa mguu au hata bodaboda tu nadhani utakuwa unajua sarakasi ambazo walinzi huwa wanawachezesha watu. Huo ni mfano tu ila zipo cases nyingi sana.

Unaweza kujuta.
 
Utajuaje turbo ni mbovu?
Inategemea imeharibika nini,

Mechanical failure, Vacuum au electrical?

Mechanical mara nyingi turbine inakuwa inaknock na unaweza kukakutana na Oil kwenye air cleaner.

Vacuum kwenye boost au waste gate hizi mara nyingi mpaka mashine ya diagnosis au smoke test.

Electricals pia hizi ni mpaka diagnostic mashine.
 
Wengi wanatumia Scanner za zamani au latest ambazo baadhi ya magari hayapo, hivyo wanaishia kuanza jaribu kwa kubadili sensor na kukuambia kajaribu afu utatwambia
Kwani jamani scanner si inaonesha? Au mkipeleka magari Diagnostic macho huwa yanakuwa wapi?

Unapeleka gari diagnosis mtu anakuambia mashine inaonesha spark plug zimeisha, Ushawahi kuona wapi error code ya sparkplug?
 
Mjapan ukiwa na 200k unafanya service saafi kabisa, sasa njoo mzungu oil pekee 150k+ hujagusa filter, hydraulic, brakepades, hujagusa Sparkcoils, airfilter Nk.
Ukimaliza hapo fundi amekaa paleee ana kimashine cha POS [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au Lipa namba
Mimi mwaka huu baada ya kulitumia gari miaka 7 ndio nikafanya service kubwa iliyonicost kama 140,000 na nilimmind fundi kwamba kanipiga
 
Back
Top Bottom