BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Kijana unakopa hela kupitia mshahara wako halafu parking unatumi ile ya CCM.. Ni ujinga mtupu.
ila dar kumiliki gari alafu unaenda nayo town ni gharama sana... kuna kipindi nilikuwa nalipa hela ya parking alafu ukirudi unakuta kuna jamaa wameioshaa bila kuambiwaa...bado kuna wale wa kukutafutia sehemu ya kupark au kuilinda asipark mwingine shida sanaa
 
Ila aisee spea na service za magari kama huna helaa usijaribu kununua gari za mzunguu walahi... kuna audi niliona inauzwa mil 4 za kitanzania ila shida yake ni CARD ya kucontrol system nzima sijui... kuuliza mtu card inauzwa sh ngapi weeee mil 12+ hapo unaagiza toka nje.
Nilikuta dereva mmoja anaendesha scania ule ufunguo wa gari umefunwa pale pale hautolewi. Nkawauliza kwann mmeufunga hapo wakanambia bora ukae hapo kuliko upotee maana bei yake n kubwa ni milion moja na ushee
 
Tukihamia kwenye trucks ni different story, Kuna tracks programming ya funguo inafika 10M kazi ambayo kwenye gari ndogo kwa gari nyingi haivuki hata laki 5
 
Kumiliki gari la aina yoyote ile ni pasua kichwa kama kumiliki mke. Gari ni nyenzo inayotafuna pesa wakati wote hata kama ni jipya.

Nunua gari kwa pesa inayotokana na faida ya biashara zako na hata hivyo itumie katika kuzalisha, vinginevyo siku moja utakuja kuiacha gereji mazima. 🤓
 
Kuna cases kwa kijana kumiliki gari ambazo mimi naweza kuziona za muhimu kuliko vitu vingine,

Kama mtu anafanya biashara hata kama ni start up gari inamuongezea thamani,

Kama ushaenda kwenye maofisi makubwa kwa mguu au hata bodaboda tu nadhani utakuwa unajua sarakasi ambazo walinzi huwa wanawachezesha watu. Huo ni mfano tu ila zipo cases nyingi sana.

Unaweza kujuta.
huko ni kujikweza na kufanya matumizi yasiyo na tija kwa business changa (jifunzeni kwa wahindi). Unataka kumu'impress' mlinzi, atakuwa na manufaa gani kwako pale biashara yako itakapoanguka? Chukua taxi basi au siku hizi uber na bolt wamejaa hasa hapa Dar.
 
Kuna ofisi mkuu unaishia getini unaondoka hivihivi unajiona, Natamani aje mtu aliyeexperience hicho kitu ndio anaweza kuelewa naongelea nini.

Kuna biashara gari inaadd value kwenye biashara yako. Katika angle hiyo simulaumu anayenunua gari hata kwa kuungaunga.
 
huko ni kujikweza na kufanya matumizi yasiyo na tija kwa business changa (jifunzeni kwa wahindi). Unataka kumu'impress' mlinzi, atakuwa na manufaa gani kwako pale biashara yako itakapoanguka? Chukua taxi basi au siku hizi uber na bolt wamejaa hasa hapa Dar.
We unazungumza mambo ya kuimpress mlinzi???

Mtu anaenda kuomba deals kwenye kampuni mlinzi anamtolea nje kuingia ndani sababu tu amekuja ya mguu au na bodaboda.

Yaani ukose deals kwa sababu za kipuuzi. Ujinga huo.
 
hizo ni biashara za kitoto basi, hivi mlinzi ana uamuzi gani kwenye deals za mtu kama umefanya appointment na kupitia kwenye njia sahihi.

Sijawahi kusikia hii ila hapa Tanzania kuwa mlinzi ana nguvu za kufanya decisions kama vile ana share kwenye hiyo kampuni.
 
Kwani kila sehemu unapoenda kuomba deal unakuwa umefanya appointment na mtu, haya mambo mimi naongea kuna watu yamewakuta wala siyo story. . . .
 
Back
Top Bottom