F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Hazina shida engine tu iko sensitive kama gari za kijerumani, kuwakiwa mataa ni muda wowote.
BMW za Diesel hizo engines za N47 na N57, timing iko nyuma ya engine halafu ndio ugonjwa wake mkubwa,
Hiyo iliyo nyuma ya engine ni timing belt/chain?BMW za Diesel hizo engines za N47 na N57, timing iko nyuma ya engine halafu ndio ugonjwa wake mkubwa,
Hilo la fundi mitihani mingi, wengine huchomoa kifaa kizima na kupachika kibovu, kila siku gari ina tatizo jipya.Kama mtu unaweza afford maintainance za European cars, na ukipata fundi mzuri, uta-enjoy maisha.
Huko ndiyo kichomi zaidi ππ€£π€£,vuta Lexus uendeshe kwa Amani ya moyo.Nilikuwa na ndoto za AUD sasa nahamia lasmi kwenye discovery 3 au 4,naombeni ushauri wenu
Kule kwetu uyole mbeya hakuna fundi anaweza fix timing chain ya BMW,imagine nimetoka kusalimia kijijini busokelo halafu likazingua huko hukoππππ.BMW za Diesel hizo engines za N47 na N57, timing iko nyuma ya engine halafu ndio ugonjwa wake mkubwa,
Chain hiyo chief,mpaka engine itolewe ndiyo inaweza kubadilishwa.Hiyo iliyo nyuma ya engine ni timing belt/chain?
Hivi ni kwa nini TZ hakuna mafundi wengi professional??Kule kwetu uyole mbeya hakuna fundi anaweza fix timing chain ya BMW,imagine nimetoka kusalimia kijijini busokelo halafu likazingua huko huko[emoji29][emoji29][emoji57][emoji57].
Hizo mashine ukishaanza gusa engine gari inakua kama ina ukimwiππ€,magonjwa hayataisha.Ukibadilisha hii chain ugonjwa umeisha?
VW golfIlikuwa gari gani?
Wanaotumia njia hio kwenda vibaruani ni kero aisee malorry njia hiyo ni mengi sanaNa ndio njia ya kuelekea kibaruani
Mafundi wanaiba parts au hawana utaalamu kurudisha kila kitu according to specs?Hizo mashine ukishaanza gusa engine gari inakua kama ina ukimwiππ€,magonjwa hayataisha.
ππ Ila nadhani chain hua inatoa dalili kabla haijafa. Ukipotezea ndo yanakukutaKule kwetu uyole mbeya hakuna fundi anaweza fix timing chain ya BMW,imagine nimetoka kusalimia kijijini busokelo halafu likazingua huko hukoππππ.
Mafundi wetu hawajui dalili zake,lakini pia kununua BMW used ni kutafuta ugonjwa wa pressure ya kupanda tu. Ile sio gari ya kumiliki out of warranty,wao hutoa miaka mitano km 60000. Zikiisha hizo wenzetu hufanya exchange/trading kuchukua gari mpya halafu kuna mtu tz ananua pepo limetembea km 90000.ππ Ila nadhani chain hua inatoa dalili kabla haijafa. Ukipotezea ndo yanakukuta
Gari zao sio reliable na wala sio ishu ya mafundi.Mafundi wanaiba parts au hawana utaalamu kurudisha kila kitu according to specs?