BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Chris Lukosi anawaaminisha madungu jeshi ndio kila kitu ,sio unamiliki kibakuli.
Huko UK mwisho wa matumizi Yale madungu ni 2025,yanapatikana kwa bei cheapest,ndio maana mshikaji anayaleta na kuyapigia promo.

Wabongo kupenda fake life wameingia chaka mchana kweupeee,kwa akili ya kawaida kabisa discover,range, BMW kwa 50, mil!!

Mshikaji kawapata .
 
Gari zao sio reliable na wala sio ishu ya mafundi.
Gari zao ni reliable kinoma,tatizo bei ya spares part,na mafundi pia ni tatizo.mafundi wengi kwa asilimia kuwa sana hawajaensa darasani(mechanics) ni wale wa chini ya mwembe.

Baadhi wame advance wapo ndani ya fence lakini tatizo ni (diagnosis)kulijua tatizo kwanza,hatuna vifaa,umeme ni mwingi Sana, sensor ni nyingi mazee.
 
Okay,hivi unajua ukubwa wa bei au thamani ya gari used unaendana pia na ubora wake (reliability). Ndiyo maana BMW, Audi zina depreciate kwa speed kali sana kuliko Lexus ukifananisha models zinazo fanana.
 
Kula maisha, mafundi wapo kwenye Uzi huu huu, ukiwa na diagnostic tool ndogo itakusaidia kuitunza vizur
Ngoja niagizie diagnostic tool. Cha dizaini hii vipi ? Katasaidia kwa ma-layman

Screenshot_20230714-171746.png

Screenshot_20230714-172121.png
 
Umaskini ndio tatizo, unakopa benki milioni 35, unamvua mtu Disco 4 milioni 30 ili uvimbe nalo mjini. Unaenjoy nalo baada ya miezi mitatu linakorofisha linazima.

Unalikokota mpaka gereji unaambiwa mpaka lipone inatakiwa uweke milioni nane mezani. Unaamua kulikacha ujipange mdogo mdogo. Linabaki kua screpa la madogo wanaosadia fundi kupumzikia na kuvutia sigara gereji.
Aisee inaumiza sana
 
Okay,hivi unajua ukubwa wa bei au thamani ya gari used unaendana pia na ubora wake (reliability). Ndiyo maana BMW, Audi zina depreciate kwa speed kali sana kuliko Lexus ukifananisha models zinazo fanana.
Ahsante sana kamanda, sikulifahamu hili

A car's reliability comes down to two things -maintenance and gas efficiency. The perfect, reliable car doesn't cost much to upkeep and gets really good miles per gallon, so they don't have to stop for fuel a lot. At the same time, they also have safety ratings and features that stand the test of time.
 
Pamoja sana

Pamoja sana chief
 
Mandela Road si salama kwa magari madogo (SUV na Sedan) hao madereva wa Malori hawaoni chini so kupata ajali ni dakika chache tu. Nimenusurika mara kadhaa. Naepuka hiyo barabara kwa hali yoyote
Haitakiwi kuzubaa ukiwa Mandela road. Any chance tembea kweli kweli sema kipande chenye mkosi ni kiwanda cha Azania baada ya tabata Matumbi uelekeo wa Buguruni.
 
Ahida sio kutelekeza tu shida ni kuzifanyia maintenance bana mostly wananunua magari kwa showoff sasa zinawashinda matengenezo ni sawa na hawa wanao nunua crown athlete zinawashinda kuweka mafuta wanaziuza bei ya supu

Huwezi nunua crown afu ikushinde kuweka mafuta tu[emoji28]

Labda liwe bovu,hizi gari ukinunua mwenyew mpya utaenjoy mkuu.

Nina crown 3GR 3000cc nmeagiza mwenyew japan inanipa 8-10 km/l mjini,highway inafika 13km/l

Sasa hapo kitakushinda nini
Muhimu fanya service on time weka spea OG
 
Back
Top Bottom