BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Kule kwetu uyole mbeya hakuna fundi anaweza fix timing chain ya BMW,imagine nimetoka kusalimia kijijini busokelo halafu likazingua huko huko😓😓😏😏.
😀😀 Ila nadhani chain hua inatoa dalili kabla haijafa. Ukipotezea ndo yanakukuta
 
😀😀 Ila nadhani chain hua inatoa dalili kabla haijafa. Ukipotezea ndo yanakukuta
Mafundi wetu hawajui dalili zake,lakini pia kununua BMW used ni kutafuta ugonjwa wa pressure ya kupanda tu. Ile sio gari ya kumiliki out of warranty,wao hutoa miaka mitano km 60000. Zikiisha hizo wenzetu hufanya exchange/trading kuchukua gari mpya halafu kuna mtu tz ananua pepo limetembea km 90000.
 
Back
Top Bottom