Huko UK mwisho wa matumizi Yale madungu ni 2025,yanapatikana kwa bei cheapest,ndio maana mshikaji anayaleta na kuyapigia promo.Chris Lukosi anawaaminisha madungu jeshi ndio kila kitu ,sio unamiliki kibakuli.
Gari zao ni reliable kinoma,tatizo bei ya spares part,na mafundi pia ni tatizo.mafundi wengi kwa asilimia kuwa sana hawajaensa darasani(mechanics) ni wale wa chini ya mwembe.Gari zao sio reliable na wala sio ishu ya mafundi.
Okay,hivi unajua ukubwa wa bei au thamani ya gari used unaendana pia na ubora wake (reliability). Ndiyo maana BMW, Audi zina depreciate kwa speed kali sana kuliko Lexus ukifananisha models zinazo fanana.Gari zao ni reliable kinoma,tatizo bei ya spares part,na mafundi pia ni tatizo.mafundi wengi kwa asilimia kuwa sana hawajaensa darasani(mechanics) ni wale wa chini ya mwembe.
Baadhi wame advance wapo ndani ya fence lakini tatizo ni (diagnosis)kulijua tatizo kwanza,hatuna vifaa,umeme ni mwingi Sana, sensor ni nyingi mazee.
Utapakia kwenye fuso ulete mjini au utoe mtu mjini aje alifixKule kwetu uyole mbeya hakuna fundi anaweza fix timing chain ya BMW,imagine nimetoka kusalimia kijijini busokelo halafu likazingua huko huko😓😓😏😏.
Yes ukipata chain nzuri ugonjwa umeisha ila sasa, gharama utakayoingia kubadili hiyo chain lazima ujute.Ukibadilisha hii chain ugonjwa umeisha?
Stori za jabaBMW bulb tu ndogo kuambiwa laki 3 kawaida Sana. Tofauti na Mjapan bulb 4,000
Chain mkuu.Hiyo iliyo nyuma ya engine ni timing belt/chain?
Ngoja niagizie diagnostic tool. Cha dizaini hii vipi ? Katasaidia kwa ma-laymanKula maisha, mafundi wapo kwenye Uzi huu huu, ukiwa na diagnostic tool ndogo itakusaidia kuitunza vizur
Aisee inaumiza sanaUmaskini ndio tatizo, unakopa benki milioni 35, unamvua mtu Disco 4 milioni 30 ili uvimbe nalo mjini. Unaenjoy nalo baada ya miezi mitatu linakorofisha linazima.
Unalikokota mpaka gereji unaambiwa mpaka lipone inatakiwa uweke milioni nane mezani. Unaamua kulikacha ujipange mdogo mdogo. Linabaki kua screpa la madogo wanaosadia fundi kupumzikia na kuvutia sigara gereji.
yani unaweza kwenda garage unakuta chuma zimepark body mpya kabisaa ila hazina dalili ya kuondoka leo wala keshoo 😀 😀Aisee inaumiza sana
Ahsante sana kamanda, sikulifahamu hiliOkay,hivi unajua ukubwa wa bei au thamani ya gari used unaendana pia na ubora wake (reliability). Ndiyo maana BMW, Audi zina depreciate kwa speed kali sana kuliko Lexus ukifananisha models zinazo fanana.
Pamoja sana chiefAhsante sana kamanda, sikulifahamu hili
A car's reliability comes down to two things -maintenance and gas efficiency. The perfect, reliable car doesn't cost much to upkeep and gets really good miles per gallon, so they don't have to stop for fuel a lot. At the same time, they also have safety ratings and features that stand the test of time.
Mkuu acha tu, tunaombaga weekend iwahiWanaotumia njia hio kwenda vibaruani ni kero aisee malorry njia hiyo ni mengi sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kuweka hand brake tuu jamaa utauaa miguuuNadhani mandela rd ndio inaongoza kwasasa si asubuhi si mchana
Nusu saa mguu kwenye brake mpaka msuli unakaza
Huko nako haupo salama sana japo kuna unafuu kidogo kuliko MJERUMANI (BMW, AUDI, MERCEDES na VW)Nilikuwa na ndoto za AUD sasa nahamia lasmi kwenye discovery 3 au 4,naombeni ushauri wenu
Mandela Road si salama kwa magari madogo (SUV na Sedan) hao madereva wa Malori hawaoni chini so kupata ajali ni dakika chache tu. Nimenusurika mara kadhaa. Naepuka hiyo barabara kwa hali yoyoteMkuu acha tu, tunaombaga weekend iwahi
Haitakiwi kuzubaa ukiwa Mandela road. Any chance tembea kweli kweli sema kipande chenye mkosi ni kiwanda cha Azania baada ya tabata Matumbi uelekeo wa Buguruni.Mandela Road si salama kwa magari madogo (SUV na Sedan) hao madereva wa Malori hawaoni chini so kupata ajali ni dakika chache tu. Nimenusurika mara kadhaa. Naepuka hiyo barabara kwa hali yoyote
Ahida sio kutelekeza tu shida ni kuzifanyia maintenance bana mostly wananunua magari kwa showoff sasa zinawashinda matengenezo ni sawa na hawa wanao nunua crown athlete zinawashinda kuweka mafuta wanaziuza bei ya supu