BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

BMW SUV (X3,X5) zinatelekezwa garage

Ndio hao sasa wameyatelekeza.
Utawaambia nini?
ni kweli "huwaambii kitu"

Sinza Kumekucha pale Soprano Garage asimilia 85% ya magari yaliotelekezwa pale (tuseme yanayokaaga miezi mpaka yapone) ni European Cars.

Toyota zilizopata ajali zinaletwa hazichukui hata siku tatu zinarudi kwa Road.
Ukibamiza hata LC200 tu kama hela ya mawazo itakaa garage miezi japo ni gari ya kijapani.
 
Hahahahah si wanasemaga dunia kijiji mkuu wacha wamiliki vyuma tu 🤣🤣 🤣 mwisho wake ndio huo!

Invoice ikija ni bei ya Passo!
Sasa ukipanda passo na ukipanda hilo dude huwezi kufeel the same.

BMW X1 ya Cc1990 unaweza ukanunua hata kwa 10M, Ikitokea gari imezingua engine uwe na 15M kama utanunua engine hapa.

Na hata kama ni kuagiza mswaki utaupata kwa 5M roughly.

Kama ulinunua kwa hela ya mawazo kwanini usilipaki?
 
Hahahah noma kweli wakati ukinunua engine yako ya 1NZ used dubai haifiki ata million 3
 
Acha hizo kuna range rovers nyingi sana nimeziona gereji za mitaa ya kinondoni na sinza zimetelekezwa sijui kuna siri gani humo
Ahida sio kutelekeza tu shida ni kuzifanyia maintenance bana mostly wananunua magari kwa showoff sasa zinawashinda matengenezo ni sawa na hawa wanao nunua crown athlete zinawashinda kuweka mafuta wanaziuza bei ya supu
 
Back
Top Bottom