RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Nenda mbele rudi nyuma, magari ya Ulaya mengi ni less reliable kulinganisha na ya Japan.
Usidhani UN wananunua Toyota kwa bahati mbaya.
Usidhani UN wananunua Toyota kwa bahati mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazina changamoto zaidi ya ground clearance kuwa ndogo. Kama safari zako hazihusishi barabara zenye mashimo makubwa, you're safe.Wally naomba smush auto went. Gari aina ya Premio New model cc1490 au 1790 ipi inachangamoto?
Huyu fundi mmexico yuko wapi?Ndugu umefafanua vizuri sana , Gari zote za ulaya ni bora mno na nirahisi kutengeza japo zina ugharama kidogo kwa sababu spare zake sio nyingi mtaani yaani spare za kukata sio nyingi , hatuna mafundi, hata hao maarufu wengi ni uzoefu tu ila sio kusomea automotive engineering , Mfano nina gari CLS 550 ilikushuka ikagoma kupanda kupeleka kwa mtaani kwa wasomali hapa nilipo nikaambiwa compressor imekufa , kupeleka kwa mtaalam wa kimexico kabadilisha fuse kitu kikapanda dola 200 tu ufundi na fuse , ningemsikiliza msomali litakiwa dola 4000
Pole mkuu.. mimi nawaza hii bmw ikianza kunisumbua niweke tu ya toyota niendelee na maisha.Nilifanya hivyo na sikupenda hata kidogo,Bora umiliki Toyota tu.
Uza nunua Toyota chief,shida za bmw sio kwenye engine tu hata mifumo yake ya umeme ni shida. Enjoy ikiwa nzima na ikianza kusumbua mbwagie mtu.Pole mkuu.. mimi nawaza hii bmw ikianza kunisumbua niweke tu ya toyota niendelee na maisha.
Asante sana mkuu. Ni mpya ina km 51,000/ hivi itaanza kumisumbua ikifik km ngapi?Uza nunua Toyota chief,shida za bmw sio kwenye engine tu hata mifumo yake ya umeme ni shida. Enjoy ikiwa nzima na ikianza kusumbua mbwagie mtu.
Mkuu umefanya siku yangu iwe nzuri kwa kucheka... eti tunamzoom tu🤠🤠🤠🤠Kuna dogo kazini kachukua mkopo mil20, kaenda kumvua mtu BMW X1 kwa 15mil anavimba nalo hatari. Wahuni tunamzoom tu [emoji23]
Tatizo kubwa hapa bongo ni mafundi wanatuharibia magari.
Inaweza kuwa tatizo la umeme kwenye gari, labda sensor fulani au wiring tu, wao wanalitafsiri ni mechanical problem; wanabomoa injini au gearbox hapo ndo habari imekwisha huna gari.
Imeshawahi kunitokea ndo maana nasema haya, niliingizwa hasara ya kununua gear box nyingine kumbe tatizo halikuwa gearbox, niliyoitoa kumbe ilikuwa nzima,
Gari ilikuwa na tatizo la kushtuka na kuzima inapoingia speed ya 80km/h au wakati mwingine inapoingia speed ya 60km/h, inastuka wakati gear inaingia na inazima. Walibomoa gearbox wakairudidhia ndo ikafa mazima gari haisogei hata futi moja.
Nikanunua hiyo gearbox nyingine wakaweka gari ikarudi na tatizo lilelile inazima baada ya kufikia hizo speed.
Hapo nimeshatupa 2m imagine.
Sasa wakaanza kuisingizia injini nikawaambia acheni nikachukua gari yangu nikaenda nayo nyumbani kwa hasira.
Gari ukitembea speed chini ya 60 unaenda nayo popote haizimi.
Nikaanza kuhangaika mwenyewe utundu utundu wa kufunguafungua kidogo ninao na spanner ninazo kwa kazi zangu ninazofanya.na google pia inasaidia sana tusidharau ilimradi rugha iwe inapanda.
Baada ya kupata marekezo sababu zinazoweza kusababisha hiyo hali wakaziorodhesha, nikafata moja baada ya nyingine.
Nikafika kwenye crank shaft sensor hapo ndipo lilipokuwa tatizo, huwezi kuamini matatizo yote na kuhangaika kote ni hapo, kadude kadogo tu kama betri ya remote, hii gari hiyo sensor ipo chini ya injini imefichwa kidogo na bellhousing ilikuwa imejaa tope limeganda, nikaifungu nikaisafisha nikaifunga gari ikawa imepona inabadili gear vizuri haizimiki tena
Mafundi sina hamu nao.
Enjoy gari yako mkuu,ondoa hofu kabisa maana unaweza kuwa mwenye bahati na isikusumbue kabisa. Raha jipe mwenyewe mkuu maisha mafupi haya.Asante sana mkuu. Ni mpya ina km 51,000/ hivi itaanza kumisumbua ikifik km ngapi?
Model gani mkuu?Asante sana mkuu. Ni mpya ina km 51,000/ hivi itaanza kumisumbua ikifik km ngapi?
BMW x1Model gani mkuu?
Engine gani? Au tuseme cc ngp?BMW x1
We mkeo akianza kujiremba na kupiga mavipodozi hujazoea unajua tu hapa unadangiwa.Unasema alikuwa anabadilisha night dress ukajua kuna shida? Ulimaanisha nini?
BMW series 1 cc1590Engine gani? Au tuseme cc ngp?
Karibu nikuuzie mpya kabisa EDTBMW series 1 cc1590
Fuel Pump tu mil 2.5. Ya Toyota chini ya 100kBasi nihamie VW Touareg
Ukikuta mtu kaua fuel pump huyo mtu ana matatizo makubwaFuel Pump tu mil 2.5. Ya Toyota chini ya 100k