BMW X3 Fourth Generation: Hawa Wajerumani hawataki mchezo aisee!

BMW X3 Fourth Generation: Hawa Wajerumani hawataki mchezo aisee!

Wakali kutoka Munich juzi juzi wamezindua all new BMW X3 generation ya nne, wakiwa wameredesign kuanzia muonekano wa nje na ndani na driving experience.
View attachment 3079978
Pichani juu ni generations tatu zilizotangulia, ya kwanza ipo kushoto na ya pili kulia wakati ya tatu ndio iyo katikati.

Ikumbukwe BMW wanafanya major change ya generation ya X3 kila baada ya miaka saba, kwani walianza mwaka 2003 kama generation ya kwanza (E86) kisha 2010 ikaja ya pili (F25) then ikaja 2017 ya tatu (G01) na sasa 2024 imekuja ya nne (G45).
View attachment 3079973
Chuma itakuja na engine options tatu, kuanzia Petrol itakua kwa engine ndogo 2.0L yenye turbo charged inline 4 na M Power M50 yenyewe turbo charged inline 6.
View attachment 3079967
Kwenye Diesel kutakua na 20d (cc 2000).
View attachment 3079974
Na Plug-in hybrid 30e ambayo inaweza kutembea hadi 88km kwa battery pekee.
View attachment 3079968View attachment 3079969
Ndani pia wamefanya redesign kuanzia cockpit, seat za mbele na nyuma.
View attachment 3079971View attachment 3079972
Muonekano wa nje haujapisha sana na G01 ila imekua kubwa na infamous grille zinazidi kua kubwa.
View attachment 3079976

Kwakua bei haijatangazwa officially, inakadiriwa itakua $85,000 au zaidi pindi zitakapoanza kuuzwa.

Michongo ikikaa nitadaka hii 30e.
View attachment 3079975


Shepu mbaya kama Rumion
 
Shepu mbaya kama Rumion
2007_Toyota_Corolla-Rumion_01.jpg
bmw-x3-2024-in-der-ersten-sitzprobe.jpg
 
Back
Top Bottom