The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulaya naogopa aiseeNtatulia sana na Volvo, Kwa sasa nipo kwenye XC60 T5. Tatizo kubwa ni mafundi wetu. Bado sijashawishika kuhama.
Niliwahi kuwa na BMW 320i series ila ndio kama Kiranga hizi gari za chini Bado hazijanishawishi. Lakini ndio ilikua chachu ya kuhamia magari ya Ulaya.
Ulaya naogopa aisee
Inatafutwa Transfer Motor ya X6
Ata BM naiogopa basi tu, mi nitaishi na JP.
Mkuu,Ntatulia sana na Volvo, Kwa sasa nipo kwenye XC60 T5. Tatizo kubwa ni mafundi wetu. Bado sijashawishika kuhama.
Niliwahi kuwa na BMW 320i series ila ndio kama Kiranga hizi gari za chini Bado hazijanishawishi. Lakini ndio ilikua chachu ya kuhamia magari ya Ulaya.
X7 unaweza ipaki tairi moja iko juu ya passoNilikuwa nayo hiyo X3 ya generation ya pili, nikachukua X5.
X3 is much lighter, I miss that, but X5 is more luxurious.
Nilikuwa nafikiria kuchukua X7, lakini naona ni kubwa sana.
Hahaaa. Yani kutoka kwenye X3 kwenda X5 tu niliona X5 ni kubwa, sasa imagine X7 unaweza kujisikia unaendesha ki mini bus fulani hivii.X7 unaweza ipaki tairi moja iko juu ya passo
Mkuu,
Volvo sijazijaribu, umeshajaribu XC90 kuona tofauti yake na XC60?