100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Kuna watu wanafikiri BMW X6 zile za beforward ndio toleo pekee la bmw x6.
Imefikia watu wanaanza hadi kuipambanisha x6 na v8. Inabidi tuelewe kwa nini huyu mnyama ana heshima na vyeo kibao huko ughaibuni, ukiona bmw x6 inazungumziwa ni inatembea usifikiri ni hizi x6 za beforwad.
Ukweli ni kwamba huyu mnyama kuna toleo zake hata beforward sijaziona.
1-Kuna M Perfomance
2-Kuna M competition
Ile ya Diamond ni ya kawaida, Tazama nyuma kwenye hio badge
Wale wenye ndoto za kumiliki bmw x6 naamini wengi wenu mkijichanga mtaangukia kwa hio x6 ya kawaida lakini kuzungumzia m perfomance na m competition inakubidi uwe na mfuko haswa....
bmw x6 m competition inatembea 0-62 within 3.7 sec, 625 hp, wakati huo lamborghini huracan inatembea 0-62 within 3.4 sec,, hivyo x6 m comp inaweza ligi na super cars japo yenyewe ni SUV...
Kuhusu M Perfomance ina 4 sec 0-62...
Kuzitofautisha Tazama badge kwa nyuma, kuna m performance, m competition na kuna hizi za kawaida....
M competition imeandika X6m halafu chini kuna kimstari kimepita kimeandika competition...
Mnyama atabaki kuwa mnyama...
Tusimlinganishe na vitu vya kijinga....