RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ndio changamoto ya Castrol.Umepigwa na si ajabu umeuziwa famba...maana zipo zipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio changamoto ya Castrol.Umepigwa na si ajabu umeuziwa famba...maana zipo zipo
Naomba nitaje walioniuzia, ni puma wapo karibu na mlimani city.Umepigwa na si ajabu umeuziwa famba...maana zipo zipo
Naomba nitaje walioniuzia, ni puma wapo karibu na mlimani city.
Nzuri sana hio sema ntajaribu 1 dayToyota ya zamani tu nimeamua kutumia long life oil badala ya kubadili kila 3000km nabadili mara moja baada ya muda mrefu.
Tofauti yake moja ni mono grade ingine multi grade.
Igesa roadMlimani City hakuna Puma, kuna Total....
Okay, kule kunaitwa Super star mkuu (jina hili wengi hawalifahamu)Igesa road
Kalinganisha hizo tatu, katumia kama reference ya Diamond sababu ndio wabongo wanalifahamu, hata mimi nimeona hizo sikufahamu kama kuna matoleo zaidi yako. Smart foni ya sh 70 na bando la chuo ni dhambi?Dah wabongo bhana Sijui huyo anae sema hiyo x6 ya diamond ni ya kawaida ye usikute ana miliki smartphone ya elfu 70 aliyo nunua mtaani na bando la chuo la wiki.
Inawezekana , kuna mahala kwasabu ya haraka niliuziwa 130,000 pale vitoria makumbusho kwenye kituo chao cha mafuta, wakati ukienda pengine unapata chini ya hapoJuzi kati nimeuziwa 118k Castrol. Au ndio kuibiwa?
Nkipata smartphone ya 70 mbona nitafurahi... natumia kitochi 4G...Dah wabongo bhana Sijui huyo anae sema hiyo x6 ya diamond ni ya kawaida ye usikute ana miliki smartphone ya elfu 70 aliyo nunua mtaani na bando la chuo la wiki.
😄😄😄 hata Shetani atapata mshtuko mkuu.Aibu nimeona mimi 😂😂😂 oil ya 90K kwa gari ya 2003?
😄😄😄 Kwamba wa mpakani.Mtu ana Carina ti,cresta,'balloon',Celica(taa mbinuko) n.k aweke 5w-30,hata Gari itapata mshtuko kwa surprise.Hio ni sawa kabisa hasa kama una Toyota current models! Sie wa mpakani mwa Sae40 na 5w 30 tuna oil yetu pendwa
M competition zipo nyingi autotrader.M series ni expensive version ya Bmw , huwa zinatengenezwa idadi fulani tu, na huuzwa kwa watu ambao wana uwezo wa ku afford extra costs .
Si rahisi kuikuta M , series kwenye masoko ya Used
Tukizidiwa sana tunaingia PlayStation mkuu kusukuma ndinga kaliUtaishia kuzi google na kuleta specs zake tu hapa jf.Haya wazee wa tozo karibuni tuendelee kujadili sae-40 oil.
bongo gari zote wachumba tuiyo car bali ni sysytem car jiniii.mnyamaaa
0-60 mph in 3.5 seconds, Trackhawk boasts a Supercharged 6.2L V8 engine