BMW X6 ambazo bongo utabaki kuzisikia

BMW X6 ambazo bongo utabaki kuzisikia

Juzi kati nimeuziwa 118k Castrol. Au ndio kuibiwa?
Kuna baba mkwe na shangazi wa mjomba wa mke wa mdogo wa rafiki hununua za KU REFILL container la Castrol Edge 75K. Huwa namuangalia tu. Akibakisha huwa mazuri kupaka kwenye nywele. Natumia
 
bongo gari zote wachumba tu
Capture1111.PNG
 
Mkuu, hiyo V8 unamaanisha Land Cruiser? Kama ndio basi ukizilinganisha za mwaka mmoja, x6 haitii mguu.
LC haiwezi fikia bei ya hio M Competition, hio inagonga $135K+ price... 0KM....
 
Gari ina shape mbaya sana hii kama chura vile mara mia X5 unaweza sema...
 
Ukishagusha hizo M lineup ni habari nyingine. Bei zake sio za kitoto. Ila kwa standard X6, LC iko jui.
Ni kweli... japo ukizungmzia x hio ni series za models... so chukua x series ya juu va LC ya juu....
vx-r ya 2022 imenyooka sana... top speed 260km/hr hapa mjapan katulia......
 
Back
Top Bottom