BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

BMW X6 gari alilopewa Diamond kama zawadi ya Birthday

Kwa level wanaojiweka wao hii ni takataka na huenda show off ya gari ya mtu hyo.Kisa mwenzie kapewa bmw na yeye eti kapewa.
utoto tu wakikua wataacha.sasa sijui birthday za mwakani watanunuliwa jets. ushambaaaa tu.ila elimu muhimu.maanake wamezungukwa na std 7.wamama ndo washajitoa akili.mama gani anaweza taniana na mkwewe na kuitana chizi wangu wakati inabidi kuwe na heahima.kukitokea tatizo si atashidwa kusuluhisha.anyways sio kosa lao ni kosa la kukosa hata elimu za dini ambazo ni free.
 
Waongo tu wale......hyo nanii yake haifiki bei hyo.

ukute kweli maabake hizi safari zinalipa.si unajua baba alikua anahangaika kutafuta pesa.unadhani si wanajipongeza kwa kazi nzito.unadhani kupakua mzigo rahisi.hapo hiyo ni kifuta jasho.for that reason, I'm out!
 
Hahaaaaa...mkuu una utani ee
By the way, hiv wasanii hawanaga zawad za maana za kupeana zaid ya magar?

wangepeana asset ingekuwa na mashko zaid

kwani asset ni vitu vya namna gani?? gari sio kitu cha maana kumbe??
 
Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema party
hiyo iligharimu shilingi milioni 28 na kuwataja
waliohusika kuigharamia.
“Event tumefanya wenyewe lakini mwisho wa siku
Diamond yupo karibu na watu wengi na
makampuni mengi”. Tale ameiambia 255 ya XXL
ya Clouds Fm. “Coca cola kama Coca Cola ndio
walichukua nafasi kubwa kuifanya ile event
sababu wao ni balozi wao….ilikuwa gharama
inagharimu milioni 28 kwa sisi wenyewe watoto

Zawadi kubwa aliyopata Diamond kwenye
birthday yake ni gari aina ya BMW X6, ambayo
alipewa na uongozi wake unaoundwa na Babu
Tale, Said Fela na Salam. Tale ameelezea jinsi
walivyoweza kupata pesa za kununua gari hiyo.
“Sasa hivi Diamond anafanya vizuri na tulikuwa
tunamwambia Diamond kwamba kuna contract
tukisaini tutakupa zawadi, as in kwamba
management haitachukua percent ya hiyo
contract hiyo pesa itaenda kwenye kukuchukulia
wewe zawadi, akasema nyie bana mlivyokuwa
watata sijui kama mtakubali.”
Aliendelea,
“Tulivyotoka South Africa tukawa kuna contract
tume confirm kusaini, tulivyosaini ile contract ile
pesa ambayo ilitakiwa pasenti yote ije kwetu sisi
mimi, Fela na Salam yote tukasema tumchukulie
zawadi….ni shilingi ya kitanzania milioni 90”.
 
Back
Top Bottom