Boarding Schools 1970s-2000: Kambi za watu katili, wanaopenda masomo, mateso, ukakamavu, walokole na wazinzi

sikujua kama hili lingeweza kuwa tatizo kwako kueleweka nliona jinsi nlivyoandika humu wengi wana elimu wangeelewa kumbe nlisahau watu wengine kama wewe . ngoja nikufafanulie nlikuwa nadhani wote wana uelewa unaofanana. mtu anaposema 1970s mpaka 2000 maana yake ni ndani ya miaka hyo. nimezungumzia kwanza shule za boarding kwa ujumla miaka hiyo. then nikaenda kwenye shule nliyosoma mimi ambayo sijataja mwaka.ukinionesha nlipotaja mwaka ntaomba msamaha kwa kudanganya ikiwa utaniona hivyo.otherwise nadhan nimekusaidia kufaham kitu kidogo leo. na ukiona mtu ameandika 1780s maana yake ni miaka ya themanini. chukua hii toka kwangu. karibu sana.

Hadithi tamu. Watu mnajua sana fasihi. Ila umesahau kidogo kuonyesha uhalisia wa matukio. 70's na taa za sola duu. Afu ganja ts.100 ktumbua tsh5
 
Hahaha Boarding schools, hakuna kipindi nilichokuwa nakipenda kama mechi ya mpira na wanakijiji,damu ilikuwa inamwagika
 
sikujua kama hili lingeweza kuwa tatizo kwako kueleweka nliona jinsi nlivyoandika humu wengi wana elimu wangeelewa kumbe nlisahau watu wengine kama wewe . ngoja nikufafanulie nlikuwa nadhani wote wana uelewa unaofanana. mtu anaposema 1970s mpaka 2000 maana yake ni ndani ya miaka hyo. nimezungumzia kwanza shule za boarding kwa ujumla miaka hiyo. then nikaenda kwenye shule nliyosoma mimi ambayo sijataja mwaka.ukinionesha nlipotaja mwaka ntaomba msamaha kwa kudanganya ikiwa utaniona hivyo.otherwise nadhan nimekusaidia kufaham kitu kidogo leo. na ukiona mtu ameandika 1780s maana yake ni miaka ya themanini. chukua hii toka kwangu. karibu sana.
Don't panic mkuu. BTW Hii story ikitungiwa movie itauza sana
 
Hahahaha umenikumbusha mbali sana maisha yangu ya Sekondari Iringa kwenye baridi Kali sana Mkwawa
 
Nimesoma form 1 hadi form 4 nina uhakika wa 100% hakuna mtu yeyote darasani na shuleni aliyekua ananijua jina kamili, hatukua na utaratibu wa daftari la mahudhurio. Nilikua kama ghost vile, sichezi mpira, siendi vipindi vya dini, sikua member wa club yoyote, sikamatwi kwenye makosa ya kijinga kijinga, j2 siendi church, sipatikani darasani na tukirudi likizo navuta karibu mwezi mzima wa ziada nyumbani. Nili enjoy life la kuwa anonymous. Hakuna aliyekua na time na mimi, siku ya mahafari jina langu linaitwa nikachukue zawadi wanadarasa wanashangaa walikua hawalijui jina langu kabisa.
 
Miye sikuwa mwanamichezo, wala nini? Ila nilikuwa maarufu balaa shule nzima.ila darasani nilikuwa vzr.
 
Nimesoma form 1 hadi form 4 nina uhakika wa 100% hakuna mtu yeyote darasani na shuleni aliyekua ananijua jina kamili, hatukua na utaratibu wa daftari la mahudhurio. Nilikua kama ghost vile, sichezi mpira, siendi vipindi vya dini, sikua member wa club yoyote, sikamatwi kwenye makosa ya kijinga kijinga, j2 siendi church, sipatikani darasani na tukirudi likizo navuta karibu mwezi mzima wa ziada nyumbani. Nili enjoy life la kuwa anonymous. Hakuna aliyekua na time na mimi, siku ya mahafari jina langu linaitwa nikachukue zawadi wanadarasa wanashangaa walikua hawalijui jina langu kabisa.
Maisha yangu haya shule moja mbeya
 
Mkuu haya mazingira unayoyataja kwenye story pamoja na mazingira ni kama shule niliyosoma mimi. Ila mimi ilikua primary.

Nasi pia tulikua na match na wanakijiji japokuwa na primary lakini bado wanakiji walikua wanakaa. Kuliwahi tokea bifu na wana kijiji walikuja kutuibia tukapiga kama mbwa mwizi.

Daaah long time sana. Umenikumbusha matukio
 
mwaka gani pale mkuu nimepita pale pia

Ah! Pale nilimaliza 2000 mkuu. Enzi za akina Mnenuka, Luhwago, Kaguo, Kajembula, Mbata, Nyamahanga bila kumsahau Kocha na Pertime. Ile haikua shule ila kambi ya jeshi...lakini sijutii kupita pale, ilichangia sana kuniimarisha. Ifunda the glorious live long forever!
 
Solar miaka ya 70 asante
Lakini umenikumbusha maisha ya shule
70's ndio miaka niliyo soma sec
 
Solar miaka ya 70 asante
Lakini umenikumbusha maisha ya shule
70's ndio miaka niliyo soma sec
Miji2 mingine bhn....si kaandika hapo miaka ya 70-2000 bhn...na hajataja mwaka gan ye kasoma...
Kwan solar zmevumbuliwa lin mkuu, 2anzie hapo unitoe tongotongo...
Na kama unaona umeptshwa chaka c lazma ukoment unapta kushoto 2, majukwaa mob asee.
2ache 2lovutika na uzi 2endelee.
 
Hivi vitoto vya siku hizi hata akili zao hazifanyi kazi. Kwanza wanashindwa kuelewa kuwa ukisema 1970-2000 maana yake ni miaka katikati ya hapo. Lakini pia hawaelew kuwa hata solar power imetumika zaman mimi mwaka 1989 nyumban kwa padre mmoja alikuwa anatumia solar energy.solar energy imeanzA kutumika kwa wenzetu 1839. Kwa shule za mishen huku tz nyng tu walikuwa wanatumia solar energy toka miaka ya 1950s makanisani na hosp.

Back
Top Bottom