Boarding Schools 1970s-2000: Kambi za watu katili, wanaopenda masomo, mateso, ukakamavu, walokole na wazinzi

Boarding Schools 1970s-2000: Kambi za watu katili, wanaopenda masomo, mateso, ukakamavu, walokole na wazinzi

Sijui Joseverest amepatwa na nini huyu mdogo wangu aisee. He was a good boy before. But siku hizi unaweza sema ana mawenge au ameanza tena kupuliza.... Hakuwa hivi huko nyuma.

Comment zake zimekua zakuruka kuzisoma kama za wale wengine wawili...
 
Nimesoma form 1 hadi form 4 nina uhakika wa 100% hakuna mtu yeyote darasani na shuleni aliyekua ananijua jina kamili, hatukua na utaratibu wa daftari la mahudhurio. Nilikua kama ghost vile, sichezi mpira, siendi vipindi vya dini, sikua member wa club yoyote, sikamatwi kwenye makosa ya kijinga kijinga, j2 siendi church, sipatikani darasani na tukirudi likizo navuta karibu mwezi mzima wa ziada nyumbani. Nili enjoy life la kuwa anonymous. Hakuna aliyekua na time na mimi, siku ya mahafari jina langu linaitwa nikachukue zawadi wanadarasa wanashangaa walikua hawalijui jina langu kabisa.
Ulikuwa MTU asiejulikana[emoji12] [emoji12]
Nadhani sasa wewe ni unaejulikana.
 
Sijui Joseverest amepatwa na nini huyu mdogo wangu aisee. He was a good boy before. But siku hizi unaweza sema ana mawenge au ameanza tena kupuliza.... Hakuwa hivi huko nyuma.
Naanza kuhisi ile kupotea mwezi mzima yawezekana wasiojulikana walifanya yao.
 
Muendelezo wa hili dude wapi aseee
Cc; mtu asiyejulikana
 
Miji2 mingine bhn....si kaandika hapo miaka ya 70-2000 bhn...na hajataja mwaka gan ye kasoma...
Kwan solar zmevumbuliwa lin mkuu, 2anzie hapo unitoe tongotongo...
Na kama unaona umeptshwa chaka c lazma ukoment unapta kushoto 2, majukwaa mob asee.
2ache 2lovutika na uzi 2endelee.
Acha maneno ya kijinga dogo
Kuna mahali nimeandika ubaya hapo.
Unawashwa wewe sio bure
 
Hivi vitoto vya siku hizi hata akili zao hazifanyi kazi. Kwanza wanashindwa kuelewa kuwa ukisema 1970-2000 maana yake ni miaka katikati ya hapo. Lakini pia hawaelew kuwa hata solar power imetumika zaman mimi mwaka 1989 nyumban kwa padre mmoja alikuwa anatumia solar energy.solar energy imeanzA kutumika kwa wenzetu 1839. Kwa shule za mishen huku tz nyng tu walikuwa wanatumia solar energy toka miaka ya 1950s makanisani na hosp.
Una akili wewe au unalopoka tu
Unaita vitoto wazee ambao wanaweza kuoa bibi yako na kutembea nae barabarani bila tatizo.

Andika kinachoeleweka wakati mwingine.
 
Hata kiswahili hujui. UNALOPOKA ndo Lugha gan? Kwenye kiswahili kuna neno Ropoka au Unaropoka.

Utasoma tena au ndo umekata tamaa umeamua uwe unashinda tu humu JF? mtihan wenu wa form four mwaka jana haukuwa mgumu. Ukapata zero sasa hata maelezo rahisi huku yanakushinda. Nenda kasome tuition hata ya kiswahili

Una akili wewe au unalopoka tu
Unaita vitoto wazee ambao wanaweza kuoa bibi yako na kutembea nae barabarani bila tatizo.

Andika kinachoeleweka wakati mwingine.O
 
Hata kiswahili hujui. UNALOPOKA ndo Lugha gan? Kwenye kiswahili kuna neno Ropoka au Unaropoka.

Utasoma tena au ndo umekata tamaa umeamua uwe unashinda tu humu JF? mtihan wenu wa form four mwaka jana haukuwa mgumu. Ukapata zero sasa hata maelezo rahisi huku yanakushinda. Nenda kasome tuition hata ya kiswahili
Pole sana naona ndio unaona comment yangu ya kwanza humu.

Ungekuwa na akili kidogo hata ya kuangalia michango yangu humu ungejua Mimi ni naweza kuwa babu yako.

Lakini bado unafikiri ni mdogo mwenzio eti
Kumbe umejiunga mwaka huu
 
Ah! Pale nilimaliza 2000 mkuu. Enzi za akina Mnenuka, Luhwago, Kaguo, Kajembula, Mbata, Nyamahanga bila kumsahau Kocha na Pertime. Ile haikua shule ila kambi ya jeshi...lakini sijutii kupita pale, ilichangia sana kuniimarisha. Ifunda the glorious live long forever!
hao woote nimewakuta mkuu mi nimechomoka hapo 2005
mambo ya kupigia msuli msitu
water pump
na hizo mambo alizosema mleta uzi tumezikuta sanaa
 
Ni demu ila ni kama kachanganyikiwa flan hivi baada ya kutoswa na jamaa yangu ommy. So siku hizi anadandia dandia wanaume na hajielew... Smetme anajifanya ye mwanaume ili sijui iweje kwenye posts zake.
inaonekana una chuki binafsi na yeye
 
Back
Top Bottom