Bob Chacha Wangwe: Mbowe anakuwaje rafiki wa adui zetu? Tumkatae wote

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708
Na; Bob Chacha Wangwe

Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti, tukiamua kabisa kuweka upambe na uchawa pembeni na kuangalia maslahi na ustawi wa CHADEMA na Upinzani kwa ujumla, hebu tujiulize maswali sita (6) yafutayo halafu ni imani yangu yatasaidia kutuonesha anayestahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

1. Ni yupi kati ya hawa wawili maadui zetu wa kisiasa wanatamani achaguliwe kuwa Mwenyekiti?

2. Nani anaungwa mkono zaidi na Umma?

3. Yupi ambaye akichaguliwa ushindi wake unaweza kuongeza ari na matumaini kwa Watanzania Wazalendo ambao wengi wanaonekana kukata tamaa?

4. Uchaguzi ni kawaida kuacha athari na majeraha kwa chama, ni yupi unadhani ushindi wake unaweza kutuachia athari au majeraha kidogo baada ya Uchaguzi?

5. Ni yupi kati ya hawa, unadhani aina ya watu wanaomuunga mkono ni kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya CHADEMA?

6. Kwakuwa chama ni Wanachama, kati ya hawa viongozi wetu wawili, nani unadhani akichaguliwa atasaidia kuongeza Wanachama wapya?

Maswali haya sita (6), yatusaidie kufanya maamuzi januari 21, 2025! Kama huna sifa ya kupiga kura, waombe wanaoweza kupiga kura watuchagulie huyo nafsi yako kwa dhati kabisa inakwambia ni sahihi!

Happy new year in advance!

Bob Chacha Wangwe
 
Hakuna uadui kwenye siasa. Mwambie huyo dogo Bob Wangwe atulize makalio
 
Common sense tu hiyo inakwambia Mbowe ni sehemu za adui zenu.

Rafiki wa adui yako ni adui yako.

Mpenzi wako akiwa na mawasiliano na aliewahi kua mpenzi wake ama ex wake basi huyo ex wako ni mume ama mke mwenzio. Hakuna kitu kinaitwa ni rafiki tu.

A friend of your friends is your friend and a friend of your enemies is your enemy Common sense.
 
Na; Bob Chacha Wangwe

Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti, tukiamua kabisa kuweka upambe na uchawa pembeni na kuangalia maslahi na ustawi wa CHADEMA na Upinzani kwa ujumla, hebu tujiulize maswali sita (6) yafutayo halafu ni imani yangu yatasaidia kutuonesha anayestahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

1. Ni yupi kati ya hawa wawili maadui zetu wa kisiasa wanatamani achaguliwe kuwa Mwenyekiti?

2. Nani anaungwa mkono zaidi na Umma?

3. Yupi ambaye akichaguliwa ushindi wake unaweza kuongeza ari na matumaini kwa Watanzania Wazalendo ambao wengi wanaonekana kukata tamaa?

4. Uchaguzi ni kawaida kuacha athari na majeraha kwa chama, ni yupi unadhani ushindi wake unaweza kutuachia athari au majeraha kidogo baada ya Uchaguzi?

5. Ni yupi kati ya hawa, unadhani aina ya watu wanaomuunga mkono ni kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya CHADEMA?

6. Kwakuwa chama ni Wanachama, kati ya hawa viongozi wetu wawili, nani unadhani akichaguliwa atasaidia kuongeza Wanachama wapya?

Maswali haya sita (6), yatusaidie kufanya maamuzi januari 21, 2025! Kama huna sifa ya kupiga kura, waombe wanaoweza kupiga kura watuchagulie huyo nafsi yako kwa dhati kabisa inakwambia ni sahihi!

Happy new year in advance!

Bob Chacha Wangwe
Kweli kabisa hii
 
Siyo lazima kila bandiko uweke comment, mengine soma yanapokuzidi uwezo unapata faida pia.
Pimbi kweli

Sio kila post lazima uisome

Kama Vipi pita kushoto, changanya genye zako Kwa wanaume wengine

Mbuzi wahed
 
Na; Bob Chacha Wangwe

Mhe. Mbowe na Mhe. Lissu wote ni viongozi wetu. Mchango wao ni mkubwa sana na tunawapenda. Lakini tunaipenda zaidi CHADEMA. Katika kuchagua mmoja kwenye nafasi ya Uenyekiti, tukiamua kabisa kuweka upambe na uchawa pembeni na kuangalia maslahi na ustawi wa CHADEMA na Upinzani kwa ujumla, hebu tujiulize maswali sita (6) yafutayo halafu ni imani yangu yatasaidia kutuonesha anayestahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA.

1. Ni yupi kati ya hawa wawili maadui zetu wa kisiasa wanatamani achaguliwe kuwa Mwenyekiti?

2. Nani anaungwa mkono zaidi na Umma?

3. Yupi ambaye akichaguliwa ushindi wake unaweza kuongeza ari na matumaini kwa Watanzania Wazalendo ambao wengi wanaonekana kukata tamaa?

4. Uchaguzi ni kawaida kuacha athari na majeraha kwa chama, ni yupi unadhani ushindi wake unaweza kutuachia athari au majeraha kidogo baada ya Uchaguzi?

5. Ni yupi kati ya hawa, unadhani aina ya watu wanaomuunga mkono ni kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya CHADEMA?

6. Kwakuwa chama ni Wanachama, kati ya hawa viongozi wetu wawili, nani unadhani akichaguliwa atasaidia kuongeza Wanachama wapya?

Maswali haya sita (6), yatusaidie kufanya maamuzi januari 21, 2025! Kama huna sifa ya kupiga kura, waombe wanaoweza kupiga kura watuchagulie huyo nafsi yako kwa dhati kabisa inakwambia ni sahihi!

Happy new year in advance!

Bob Chacha Wangwe
Huyu dogo anamachungu ya Mzee wake
 
MAJIBU YA MASWALI 6 HAYA HAPA.

1. Ni yupi kati ya hawa wawili maadui zetu wa kisiasa wanatamani achaguliwe kuwa Mwenyekiti? MBOWE

2. Nani anaungwa mkono zaidi na Umma? LISU

3. Yupi ambaye akichaguliwa ushindi wake unaweza kuongeza ari na matumaini kwa Watanzania Wazalendo ambao wengi wanaonekana kukata tamaa? LISU

4. Uchaguzi ni kawaida kuacha athari na majeraha kwa chama, ni yupi unadhani ushindi wake unaweza kutuachia athari au majeraha kidogo baada ya Uchaguzi? LISU

5. Ni yupi kati ya hawa, unadhani aina ya watu wanaomuunga mkono ni kwa maslahi yao binafsi na sio maslahi ya CHADEMA? MBOWE

6. Kwakuwa chama ni Wanachama, kati ya hawa viongozi wetu wawili, nani unadhani akichaguliwa atasaidia kuongeza Wanachama wapya? LISU
 
Mbowe anaungwa mkono mpka na lukas Mwashambwa
So sad. Hata hapa jukwaani Ni Mbowe tu anaungwa mkono na wa naccm na wanaccm wote wanamshambulia Lissu kwa matusi na kejeli. Hii sample ya ilivyo hata huko uraiani,ghafla Mbowe kawa lulu kwa CCM hii ni hatari sana kwa mustakabali wa Chadema. Siamini kama Mbowe haujui ukweli huu,na kama anaujua na anashupaza shingo jee kweli Mbowe anaitakia mema Chadema?
 
Back
Top Bottom